Nimenukuu kama ilivyo ila nahc hayo maji itabidi iwe asali
Na watu wanaamin sana hiyo mambo
Mi cjui waligunduaje bila kupima content zake na kujua zinapambana vp
"Nanukuu
Unaweza kuishi mpaka miaka mia kwa kutumia mdalasini na asali. Matayarisho vijiko 4 vikubwa vya mdalasini changanya kwenye maji vikombe 3 koroga kwa dakika 10 kunywa robo kikombe mara 3 au 4 kwa ck"
Najua humu kuna watu logic sana mimi ctak siasa ya wanasayansi wanaendesha uchunguz na...
Nafasi kumi za wanafunzi wa PC (private candidates ) zinapatikana ni kwa wale wa mkoa wa Kagera (Missenyi) walimu wapo wa masomo yote
Mawasiliano
0762125819
Kituo cha Jenga Uwezo kilichopo manispaa ya wilaya ya Missenyi kinatoa mafunzo Bora kabisa ya awali kwa watoto miaka 2_6 (day care) Na walimu wapo wakutosha Na twisheni kwa Sekondari Na primary zinapatikana pale
Mawasiliano
+255715848381_MKURUGENZI JENGA UWEZO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.