Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi


E

Edwin Kabigumila

New Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1
Likes
2
Points
5
E

Edwin Kabigumila

New Member
Joined Jul 31, 2017
1 2 5
Anatafuta kazi ya Office Attendant mkoa wowote, yupo na ujuzi na uzoefu wa miaka 4 kazini, kwa yeyote anayefahamu kuhusiana na kazi husika tafadhari naomba usaidizi.
 
zugazuga na mimi

zugazuga na mimi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Messages
244
Likes
71
Points
45
zugazuga na mimi

zugazuga na mimi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2017
244 71 45
Shukrani mkuu kwa kutufahamisha
 
MICHAEL LOGANI

MICHAEL LOGANI

Member
Joined
Jul 15, 2017
Messages
37
Likes
12
Points
15
MICHAEL LOGANI

MICHAEL LOGANI

Member
Joined Jul 15, 2017
37 12 15
Habari ya Leo wadau,Mimi nauliza ni jinsi gani watu wanavyotuma maombi ya kazi ktk INTERNET ...naomba munielekeze...
 
D

dillow

New Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
1
Likes
6
Points
5
D

dillow

New Member
Joined Feb 16, 2018
1 6 5
Jaman natafta kaz ya kuuza kwenhe super markets,maduka ya nguo au ya simu na electronics zote..namba yangu 0745178075
 
adri

adri

Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
87
Likes
48
Points
25
adri

adri

Member
Joined Aug 10, 2017
87 48 25
Anatafuta kazi ya kuuza supermarket au duka yupo dar msaada please!!
 
J

justus zakaria

New Member
Joined
Mar 25, 2018
Messages
4
Likes
0
Points
3
J

justus zakaria

New Member
Joined Mar 25, 2018
4 0 3
jamani ningependa nisaidiwe jinsi ya kuweka profile picture kwenye acount yangu ya jamiiforums please!
 
K

kakyama

New Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
2
Likes
0
Points
3
K

kakyama

New Member
Joined Mar 4, 2018
2 0 3
Jamani mm natafuta kazi yoyote kasoro bar. Atakae pata numbery yangu hi 0719523609
 
V

Vidasia

New Member
Joined
Apr 15, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
V

Vidasia

New Member
Joined Apr 15, 2018
1 0 3
Natafuta kazi ya kwenye stationary secretary kwa anayenihitaji namba 0753362266
 
S

SADALA ELIAS

Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
6
Likes
1
Points
3
S

SADALA ELIAS

Member
Joined Apr 30, 2015
6 1 3
Vema sana kijana kwa maelekezo na kutoa maarifa yanayo hitajika kwa muombaji na mwajiri.Salaam!

Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla.

Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine wakitaja kwa upana na wengine kwa ufupi sana na wakati mwingine bila taarifa zozote zitakazomwezesha mwajiri kupata fununu za mtu anayetaka kumuajiri.

Kama ambavyo wanaoweka matangazo ya kazi waliaswa hapa: ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu nadhani ni wakati wa wanaoweka matangazo ya kusaka kazi pia tukazingatia vigezo kadha wa kadha.

Walau tangazo la kutafuta kazi liwe na vitu vifuatavyo:


  • Wasifu, kwa kuwa kanuni za JF zinalinda haki ya faragha, utambulisho uhusishe wasifu mwingine ISIPOKUWA majina. Mathalani, mwombaji anaweza kusema kuwa yeye ni kijana mwenye umri wa miaka XX anayepatikana eneo XY.
  • Elimu, hii inasaidia mtu ambaye anaomba kazi kuweka wazi elimu aliyonayo, iwe ya jumla au ya utaalamu mahususi. Waajiri au wenye kujua fursa za ajira wangependa kujua elimu aliyonayo mhitaji ili wamsaidie iwezekanavyo.
  • Uzoefu. Hiki ni kigezo kinachompa sifa za ziada mwombaji. Ni vema kusema kama umewahi kufanya kazi, semina ama kuhudhuria mafunzo fulani maalumu kwani itaongeza ushindani wa mwombaji.
  • Mapendeleo. Kutaja elimu na uzoefu pekee hakutoshi, ni vema muombaji/mhitaji akaweka wazi kazi, eneo, mazingira ya kazi ambayo anayapendelea pamoja na vitu vingine vya ziada. Kuandika kwa ujumla sana hupelekea wasio na nia njema kujibu kwa kejeli na dhihaka. Kuwa mahususi na kazi itakiwayo kutapunguza majibu mengi yasiyofaa kwa mwombaji.
  • Andiko lisiwe na nia ya kuvuta sana usikivu. Maandiko yenye uelekeo wa kulia-lia, kutangaza kuwa maisha ni magumu na hujui ufanyaje hakurahisishi harakati za kupata kazi. Watu wenye nia mbaya wanaweza kutumia uhitaji huo uliopitiliza kwa manufaa yao kiuchumi (utapeli) na hata kingono (hasa kwa mabinti).

Nawatakieni kila lililo jema katika harakati za kusaka ajira!
 
Kungwi Mtoto

Kungwi Mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2018
Messages
818
Likes
752
Points
180
Kungwi Mtoto

Kungwi Mtoto

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2018
818 752 180
Wazo zuri sana.
 
M

Musnadmovec

New Member
Joined
May 13, 2018
Messages
2
Likes
0
Points
3
M

Musnadmovec

New Member
Joined May 13, 2018
2 0 3
safi sana ila umewakera wale wanaohusika na kipengele cha mwisho hicho
 

Forum statistics

Threads 1,262,373
Members 485,562
Posts 30,121,504