Hbar jf
hope mko okey bila kupotez mda naenda kwenye mada hivii je kuna ke kwel atakae lidhika na dushe ndg kabsa au ndo utaonekana unapika ugali na mwiko kwenye sufulia binafsi siamin dushe ndg mwanamke akaipenda
Hello JF. Natumai mko poa.
Nimekuwa nikisikia kwa muda mwingi kuwa Virtual Card ya kutengeneza kama vile ya M-Pesa MasterCard unaweza kufanyia manunuzi sasa kuhusiana na Youtube iwe kama payment kadi inawezekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wanaaa wa jf
Tatizo lililopo ni wakati wa Kubarehe kunakuwa na mabadiliko mengi mojawapo kifua kutokwa na vinundu kwenye chuchu na hiloo lilinipata lakini mbaka sasa bado lipo nlikuwa naombeni msaada njia ipi niifanye ili niondokane na hili jambo?
Maana Sina raha kabisa toka mwezi wa 11...
Hi watu wa jf
Mim nnasoma chuo Cha mipango mwaka wa kwanza dodoma irdp sasa nataka kujua kuhusu ajira jeh Kuna uwezekano wa ajira au ndo kufanya kaz nyingne
Mtyela Kasanda, Sawa mkuu icho kitu sjawahi kufikilia but nlikuwa na mawazo ya kuwa na youtube channel yang hasa kwa kufanyaje ndo skuwa na wazo hilooo shukran sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.