Naomba ufafanuzi kuhusu Virtual Card kwenye YouTube

Jordi alfred

Member
Oct 24, 2019
20
5
Hello JF. Natumai mko poa.

Nimekuwa nikisikia kwa muda mwingi kuwa Virtual Card ya kutengeneza kama vile ya M-Pesa MasterCard unaweza kufanyia manunuzi sasa kuhusiana na Youtube iwe kama payment kadi inawezekana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
virtual card inaweza kutumika kama malipo ya mda huo kwa kipindi fulani ila sio kwa kutambulika kama visa au debt yoyote iliyo sajiliwa kwenye malipo.
nenda benk sajili debt visa card ya internet banking utaweza kupokea pesa zako.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa mkuu nmekupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom