Recent content by joramjason

  1. joramjason

    JamiiForums Tanzania ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

    Mashine ya ku inject expansion joint materials
  2. joramjason

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kwani hii msg mlikuwa mnaandika wangapi? Sema mimi sio sisi. Ndo maana mwishoni umemaiza my take. ACHA MANENO WEKA VYETI, BLAAAH BLAAH SITAKI KUSIKIA ........
  3. joramjason

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda afika mahakamani na kumkataa hakimu anayesikiliza kesi yake

    Unapoteza muda kufafanua hawa nao itakuwa walirudia darasa la nne.
  4. joramjason

    JamiiForums Tanzania Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

    Kama nyeupe iwe nyeupe pande zote.
  5. joramjason

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

    Hivi kale ka emoji ka makofi kanapatikanaje?
  6. joramjason

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Hivi afisa akichelewa anafanywaje? Just thinking loudly.
  7. joramjason

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Na aliathirika kwa pombe utapigana na TBL wafunge kiwanda. Samaki mkunje angali mbichi.
  8. joramjason

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha hatari ulichowahi kukifanya kwenye mapenzi na kikakushangaza mwenyewe

    Si bado mzima na kaandika thread hii nadhani jibu .....................
  9. joramjason

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mkewe kawa mkali baada ya kupewa kondomu na watoto walizotoa kwenye gari

    Umbea bwana sasa habari za jirani wewe zinakuhusuje?
  10. joramjason

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu huyu msichana, sijaelewa lengo lake

    Hebu nifafanulie hapo nilipoweka alama nyekundu maana inawezekana gono ulipewa na mwingine. Siku nyingine ndo ujue umuhimu wa BULL
  11. joramjason

    JamiiForums Tanzania TTCL imesababisha nifukuzwe Kazi

    Huwa tunafanya Due Diligence kwanza we unkurupuka kwa kusikia matangazo. Pole sana.
  12. joramjason

    JamiiForums Tanzania Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

    Ndos shida ya kuuziwa mbuzi baada ya kuskia mlio. wenzio wanatest kwanza na kutikisa wavu ndo wanaoa.
  13. joramjason

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Prof. Mbarawa, chukua marubani watano tu ATCL

    Mmmmh watu mna maneno sana
Back
Top Bottom