Recent content by JOO215

  1. J

    Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

    Zitto alikosea kuwaamini kina Kitila Alipaswa kuamini akili yake watu walimshauri vibaya kwa maslahi yao
  2. J

    Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Hongera ya nini kwa huyo mtengeneza makundi na mrudisha harakati za mabadiliko nyuma
  3. J

    Dr Slaa: Walioenda bunge la katiba tulisha wapuuza

    By Kibanga Ampiga Mkoloni: TAREHE: 09/08/2014 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: KUOMBA RADHI KWA KUFIKA MAENEO YA BUNGE Jana kunabaadhi ya vyombo vya habari viliandika kuhusu mimi kufika maeneo ya bunge la katiba Dodoma mnamo Jumanne tarehe 05/08/2014. Ni kweli nilifika kwa na kujisajili...
  4. J

    Dr Slaa: Walioenda bunge la katiba tulisha wapuuza

    Mbunge wa CUF aliyesaliti chama na UKAWA ameomba radhi na amerudi jimboni kwake.
  5. J

    Dr Slaa: Walioenda bunge la katiba tulisha wapuuza

    Adhabu ya kupuuzwa ni mbaya kweli hasa pale mkubwa mzima unapochukuliwa kama mtoto mbele ya wakubwa wenzio
  6. J

    Dr Slaa: Walioenda bunge la katiba tulisha wapuuza

    Akiongea kuhusu wabunge wachama chake kuingia bunge la katiba, kupitia redio one katibu mkuu wa CHADEMA amesema wote walioenda kwenye bunge la katiba walishapuuzwa na chama mda mrefu. Amesema adhabu sio lazima iwe ya wazi hata kupuuzwa ni adhabu pia.
  7. J

    kwanini Lipumba anadhalilisha uprofesa wake kwa kuunga mgomo wa ukawa??

    Hujielewi wewe vyama vinawafanya kuwa vipofu hauhitaji kufundishwa kujua unyinga wa ccm na akili za Warioba
  8. J

    Kikao cha UKAWA na CCM chavunjika jioni ya leo, hakuna muafaka

    Leo kutwa nzima nimekuwa sehemu ya ujumbe wa CCM kwenye mazungumzo na UKAWA. UKAWA wamesisitiza kutorudi Bungeni. Mazungumzo yamevunjika. Hii imetoka kwenye twiter accaunt ya makamba ccm wameshikilia msimamo wao ukawa nao na msimamo wa wananchi.
  9. J

    Star tv live: Hatma ya bunge la katiba, Zitto Kabwe, Salum Hapi na Kafulila wanahojiwa

    kupitia ukarasa wake wa fb Zitto anasema Mkutano wa Bunge Maalumu utakaofanyika bila kuwepo kwa maridhiano utakuwa hauna maana yeyote na itakuwa ni sawa na kupoteza muda na fedha za walipa kodi ambazo zingeweza kununua madawa vijijini. Mimi binafsi...
  10. J

    Maadui wa ACT-Tanzania, Shame on you! Mmekwama! Tafuteni kazi nyingine

    Tanzania hatuna tatizo la vyama tatizo kubwa la Tanzania ni watu wengi wanaongozwa na matumbo sio akili
  11. J

    Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Umesoma walichosema au umesikiliza tu vichwa vya magazeti kwenye redio
  12. J

    Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Umekisoma walichokisema au unaongea tu
  13. J

    Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Wasiri anajichanganya anajifanya hajui kazi zote za tume
  14. J

    Jeshi la Polisi Manyara latawanya maandamano ya wanawake

    Ni dalili njema wanawake Lazima washiriki kuleta mabadiliko ya kweli.Haya sasa wale wanaosema kila siku chama fulani ni cha wanaume tu waseme tena
  15. J

    Hatari ya Kufanyika kwa Kosa kubwa la kihistoria: Viongozi CHADEMA kutaneni kwa dharura!

    Kwahiyo wewe unataka hayo mnayoyaita mabomu mbaki nayo au mmeanza kuhisi mpo kwenye nyumba ya vioo pia
Back
Top Bottom