Dr Slaa: Walioenda bunge la katiba tulisha wapuuza

Dr Slaa: Walioenda bunge la katiba tulisha wapuuza

JOO215

Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
26
Reaction score
8
Akiongea kuhusu wabunge wachama chake kuingia bunge la katiba, kupitia redio one katibu mkuu wa CHADEMA amesema wote walioenda kwenye bunge la katiba walishapuuzwa na chama mda mrefu.

Amesema adhabu sio lazima iwe ya wazi hata kupuuzwa ni adhabu pia.
 
Ndio maana tumesema hatutapokea tena makapi kugombea uongozi Cmd. Shibuda, arudi and letsia all are stupid less.
 
ichi kibabu kimemalizika ss ni matamko kila dakika aaaagh!
 
Slaa anaishi wapi ? Baada ya kuondoka kwa kamili hajulikani alipo
 
Mzee ni Babu yako uliemuacha kwenu anaota moto!!! Hujui hata wabunge wa katiba walipatikana vp!!??

Kwa vile hayupo ana mtima nyongo kweli, sikuwahi kumsikia alivokuwa mbunge akisusia vikao, leo yeye sio mbunge kila chadema wako nje, mara rais, hawamtambui, mara bajeti mbaya, ndio aina ya viongozi tuliyonayo. Sijui warioba amezungumzia nini kipengele cha ndoa (just joking)
 
Sacos imepima upepo ikaona hapo ni maji marefu.

Babu awe muwazi tu aseme tumeona tukiwafukuza kwa wakati mmoja ruzuku ya chama itapungua.

Hapo ni ruzuku tu ndo zinawahangaisha.

Kwa zitto ilikua ni uenyekiti ila hawa hawana madhara kwenye suala la uongozi hivyo si busara kuwafukuza alafu ruzuku ya chama ikapungua.

Siasa za kibongo bado sana.
 
kuna msemo wa enzi zile,''hapendwi mtu''.
 
Back
Top Bottom