Recent content by joniee

  1. J

    GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Wamefungia mpaka google map. Nimeenda kulipiza kwenye kura yangu
  2. J

    GE2020 Tundu A.M. Lissu: Mgombea Urais wa upinzani machachari zaidi kuwahi kutokea katika chaguzi zote chini ya mfumo wa vyama vingi kurudi 1992

    Toka kuanza kwa utaratibu wa vyama vingi mnamo mwaka 1995 Tanzania haijawahi kupata candidate wa uraisi mwenye uwezo mkubwa wa kiakili na maono kama Tundu Lissu. Tukiwa nchi yenye kuchagua candidate na sera za chama CHADEMA ndio direction. Mwalimu wa chemistry Vs Mwanasheria Nguli haiwezi kuwa...
  3. J

    Natafuta Gari Vitz new model

    Natafuta Gari Vitz new model, iwe ya kwako sio dalali na isiwe na matatizo kwenye engine wala gear box. Bei maelewano
  4. J

    Nauza Nissan Bluebird

    Ni new kodel kaka, gari balaa hii
  5. J

    Nauza Nissan Bluebird

    In CC 1490 mkuu ila hapana, 10m iko chini gari ni mpya na haina shida hata kidogo
  6. J

    Nauza Nissan Bluebird

    Hayo ni maneno ya watu mzee, bluebird yangu ya pili hii na sijawai kosa spea hata siku moja
  7. J

    Nauza Nissan Bluebird

    Hiyo iko chini sana mkuu, ila poa kama ikifika ntakutaarifu
  8. J

    Nauza Nissan Bluebird

    NISSAN BLUEBIRD KM - 55K CC - 1490 YEAR - 2006 FUEL - Petrol SEATING CAPACITY - 5 BEI - 13.5M Big Interior Full AC Full Documents In mint condition Gari ina muda mchache toka iagizwe iwahi sasa Maongezi kiasi yapo
  9. J

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji shock cups za nissan bluebird sylphy
  10. J

    Naomba mwenye uzoefu na hii BANK OF AFRICA

    Iko safi sana hii Bank, ila ulizia makato labda yanaweza kuwa juu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    BANK OF AFRICA TANZANIA -BOAT

    Watabadili vip tabia wakati hata hujawataja ni tawi gani, humu ni free speech Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    BANK OF AFRICA TANZANIA -BOAT

    Wamekufanya nini mkuu ili na wengine tusije ingia mkenge Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Bima ya Maisha katika Mkopo wa Bank

    Habari wana Jukwaa Mnamo tarehe 09 April 2017 niliondokewa na mzee wangu ambaya alikua mteja wa Bank moja wapo hapa Tanzania. Wakati wa mauti mzee alikua ameacha deni bichi ya Bank lipatalo Million 20 ikiwa ni siku 10 tu baada ya kupewa mkopo. Sisi kama familia hatukuelewa matumizi ya pesa...
  14. J

    Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Nikikupa kazi ya fensi kwenye kiwanja cha sqm 1000 utajenga kwa bei gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom