Eti mtu kukumbusha kwmba msiisahau mikataba tyr mnataka wachukue upande ,upande upi wachukue sasa Wa kanga au Wa kitenge sijaelewa hapo ,yeye alichokfanya amekumbusha pengine hili zoezi liende sambamba na hayo makubaliano amabayo ndio Mkataba baina ya wahusika isiachwe nyuma duh kaaaz kwel kwel...
Mkuu ushauri wake tu Wa Jana tayar n msaada mkubwa kw taifa ,tabu inakuja pale anapoitwa mpinzani bas watu flani wao hudhania kuwa upnzani ni ktoka nchi nyngne tofaut na taifa hili kmbe mchango wake ni muhimu sana kwa taifa hili kulko baadh wanavyochukulia nmewaza kwa saut tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.