Recent content by jonaleemanson

  1. jonaleemanson

    Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

    Shida ni barabara zetu hapa kuzungusha hiyo speed ningum. Hebu nambie ulifuta 250 ukiwa barabara ipo
  2. jonaleemanson

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    Ndo maana inaitwa Subaru ukiwa unakimbia wewe mwenyewe unaskia Raha hakuna wakushinda na Subaru so lazima inywe
  3. jonaleemanson

    Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

    Kawaida ni 8klm to 9klm per lt kwa speed ya mpaka 160. Lakini kiukweli Subaru yenye Turbo utafurahia safari popote na speed yakufa mtu. Huwazi ku over take ukiwa na Subaru. Ukipata cross spot uta enjoy zaidi. Alikua mtu Arusha tumempa Subaru akafuata mzigo dar na kuupeleka Dom kwa mama makinda...
  4. jonaleemanson

    Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

    Mimi natumia Subaru nakushauri uchukue Subaru tho ningeshauri yenye Turbo kwa safari ndefu uhakika popote tho fuel consumption yake pia nikubwa
  5. jonaleemanson

    CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

    HAKIKA KAMA KWELI KUNA WATANZANIA WATATHUBUTU KUMPA KURA MTULIA KUNA HAJA YA WATANZANIA WOTE KUJA KUPIMWA AKILI NA LAZIMA TUKUBALIANE NA TRUMP WE ARE FROM S...HT HOLE
  6. jonaleemanson

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutumia Sh. Bilioni 1 ktk Uchaguzi wa Marudio Kinondoni

    SIO TU MATUMIZI YAKUJITAKIA BALI NI KULOGWA TULIKOLOGWA NA ALIETULOGA ASHAKUFA.
  7. jonaleemanson

    Tusidanganyane: CHADEMA haina nguvu ya kushinda jimbo la Kinondoni

    Na Kama CCM itashinda Basi nasema shida tunayo sisi Wananchi kuacha wanasiasa watuchezee Kama wajinga. Hivi hiyo pesa ya uchaguzi ingeweza kufanya mangapi?
  8. jonaleemanson

    Tusidanganyane: CHADEMA haina nguvu ya kushinda jimbo la Kinondoni

    Inawezekana pia lakini jiulize CUF ipi inanguvu ya Msaliti le professor au Maalim??
  9. jonaleemanson

    Heche azomewa na wapiga kura wake jukwaani

    Haahaahaahaa CCM bana kweli aliewaroga ashakufa
  10. jonaleemanson

    Tafadhalini sana, tusipende kuchukulia mfano Rwanda kuhusu UCHOCHEZI na Vyombo vyetu vya Habari

    Ni akili ndogo sana tena kiwango cha chini inaweza kuandika ulichokiandika. Lazima utakua kati ya wale wasiotumia hata chembe ya akili walizopewa na Mungu.
  11. jonaleemanson

    Tundu Lissu kutinga Mahakama Kuu kushinikiza Maxence afikishwe Mahakamani

    Lema ni dola imeamua kumkomoa so pale ni kama kushindana na dola thats why hajawa na la kufanya hivi macho na akili zenu zimefichwa wapi ninyi? Hebu jiulize kuna tofauti gani kati ya kauli za lema na mzee wa upako? Alafu siro akajibu alietishiwa na kauli za mzee wa upako aende kufungua kesi...
  12. jonaleemanson

    CHADEMA yataka Serikali iseme kama imemkamata Ben Saanane na kama haijamkamata iseme yupo wapi

    POST YAKO HIYO HAINA FACT HATA MOJA NAONA NI NGONJERA TU. KESI YA LEMA NAYO UNAIITA KESI?MZEE WA UPAKO JUZI KASEMA WATU WATAKUFA KABLA YA MARCH NA MMEFUNGA MIDOMO.ILA KUNA SIKU AKILI ZENU ZITAKAA SAWA
  13. jonaleemanson

    Mbeya kumechafuka, dereva bajaj na police

    JUZI NIMEPITA IGUNGA BODABODA WANAPIGWA MABOMU KISA WANATAKA KUONANA NA MKUU WA WILAYA MAANA MAUAJI YANAWAANDAMA
  14. jonaleemanson

    Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Matusi gani sasa hapo ambayo wewe unayaongea. Mkikosolewa ni tabu. Mnataka wote tuimbe wimbo mmoja
  15. jonaleemanson

    Hali mbaya Mwanza, maduka yafungwa kwa ukata

    NADHANI HUJAELEWA MITA MOJA YA MRABA NI UKUBWA WAKIASI GANI. UNAPASWA UJUE KWAMBA CHUMBA KIMOJA NI MITA KADHAA ZA MRABA
Back
Top Bottom