Mbeya kumechafuka, dereva bajaj na police

Mbeya kumechafuka, dereva bajaj na police

Mwenye nchi atakuja atasema wasibugudhiwe, yeye ndiye alichaguliwa na wananchi.

KADA

"Bring back Ben"
 
JUZI NIMEPITA IGUNGA BODABODA WANAPIGWA MABOMU KISA WANATAKA KUONANA NA MKUU WA WILAYA MAANA MAUAJI YANAWAANDAMA
 
Ilikuwa ni rapsha za hapa na pale tu lakini hali iko shwari maeneo yote ya JIJI,palitokea eneo la kabwe tu na badae hali ikawa sawa
 
Back
Top Bottom