CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,760
102,110
26731016_1077722132369277_1004047942664872173_n.jpg

Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.

Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki

Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni
 
View attachment 683077

Mmeshatengeneza tena video fake kama za Arumeru?? Hamtapata kura tena kama mlivyofanywa Arumeru!
 
View attachment 683077

Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.

Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki

Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni
Sinunuliki, sina bei safi sana, kibonzo muruaaaa!!
 
Mtulia ameshindwa kuelewa mgawanyiko wa mihimili, Bunge, Serikali na Mahakama, Yeye yupo kwenye bunge akavunja mkataba na kuamua kuiunga serikali

Moja ya kituko ambacho kitakuwa kichekesho kwa wajukuu zetu ni hili jina Mtulia

Ukisema kitendawili basi Sema "mtulia " Jibu kwa wajukuu wetu litakuwa "Binadamu aliyeuzwa na kununuliwa na mmiliki wake mnadani "

Huyu jamaa namfananisha na kambare mtoto, kwani kambare mtoto ana ndevu ingawa ni mtoto, Huyu jamaa ana ndevu lakini bado ni mtoto
 
Mwaga ugali na mwaga mboga nakama nikweli siku zote chadema mlikuwa wapi au huyu mtu aliyepiga hizo picha au video alikuwa wapi kipindi chote haaa sio poa nyie chadema sisi sio watoto
 
wakidakwa na kuswekwa ndani kwa uchochezi wasije piga yowe kuwa wanaonewa watatoka baada ya uchaguzi.Waage makwao kabisa
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom