Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,240
- 3,931
Madarasa hapo yangekuwa 50,Donald Trump ni noma aisee.....
Hivi hizi hela madarasa mangapi mashuleni..!?
Madarasa hapo yangekuwa 50,Donald Trump ni noma aisee.....
Hivi hizi hela madarasa mangapi mashuleni..!?
Hajaacha ubunge kwa sababu za kipumbavu.Mbona lazaro nyarandu hajashitakiwa?
Kwa akili kama hizi Trump yuko sahihi kabisa.Hata sasa hivi hiyo billioni moja itatumiwa na watanzania hivyo kuongeza mzunguko wa pesa mtaani
Mubashara kabisaaa wala hauja kosea.Yaani wametuona malofa na wapumbavu kama alivyotuita mheshimiwa moja.
This is exactly what "Shithole countries mean; but forgive me, why didn't he say "Shithole leaders?"Huyu mbunge amesabisha hasara kweli Sijui mtu kama huyu unamchagua vp kweli Trump yupo sahihi
Kwahiyo unaona kususia ndiyo suluhu?Kama mnaona ni gharama na serikali inatumia hela vibaya za walipa kodi na nyinyi ni wazalendo kwa nini msisusie uchaguzi huu ili wagombea wapite bila uchaguzi wowote na pia itaonesha kuwa hamuungi mkono uchaguzi huo sababu umegubikwa matumizi mabaya ya fedha....ila kumbuka democrasia ni gharama.