Recent content by Jomt

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila apewa za uso alivyojibu hoja za Zitto kuhusu ripoti ya CAG

    Huu ushabiki wa vyama utatumaliza!!! Kama jambo limefanyika kwa nia njema kwanini linafichwa?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Hilo likipita likiletwa la kutumia vipaza sauti na spika kanisani ukubaliane nalo pia!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na siasa za udini, Salim Mwalim kukutana na kamati ya siasa ya shura ya maimamu msikiti wa Mtambani 24/01/2018

    Uboya wa kiwango cha juu!! Mimi mkristo kura yangu ni kwa Salum mwalim
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

    Time will tell....itafika mahali hao viongozi mnaotusukumizia hawataweza kutawala!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watoa sauti ya Hussein Bashe akiwahimiza makada wa CCM wawapige CHADEMA kwani mahakama na polisi ni za CCM

    Na wakizudiwa nguvu itakuwaje? Jamaa nilikuwa namkubali lakini I guess he is just a clown!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kiungulia kikali dawa nini

    To be clear mix kijiko kimoja cha apple cider na maji glass moja!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kiungulia kikali dawa nini

    Kaka hiyo ni siki ya tofaa ama apple cider vinegar!! Nilikuwa na tatizo kama la kwako nilipewa hiyo ikamaliza tatizo!! Inapatikana supermarket kwa brand tofauti tofauti ila wanasema ni vizuri ukatimia unfiltered! Unachofanya nikuchanganya na maji kijiko kimoja cha chakula asubuhi kabla ya kula...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kiungulia kikali dawa nini

  9. J

    JamiiForums Tanzania Dawa ya UTI sugu kwa anayejua

    Msaada wa dawa ya uhakika jamani....naamini nina UTI sugu kwa maana kila ninapokuwa Faragha na wife baada ya muda anahisi kuwashwa na akipina anapatikana na UTI. Kuna wakati mimi napata burning sensation pia ila nikipima hakuna kitu!! Naombeni ushauri pia kwa wabobezi.
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa wakenya kutompa urais Raila Odinga

    Kwani hii serikali imeyaweza ya kwake??? Mbona imeenda kwa jirani kumsapoti Odinga wakati hamna viwonder tulivyoahidiwa!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Ufafanuzi kuhusu makubaliano kati ya Serikali na Barrick

    Hii report ingekuwa na chembe ya kuaminika angalau kungekuwepo na neutral part kwenye hayo mazungumzo....hapa tumepigwa changa la macho maana hizo hesabu hata asiyeenda shule atazikataa!!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mechi hii sio ya kukosa

    DSTV kifurushi cha 42500 kuna Channel itaonyesha?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lamchukua Tundu Lissu kwa ajili ya upekuzi nyumbani kwake

    No retreat no surrender!! Tupo pamoja na kamanda!!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dawa ya reflux ama tatizo la acid nyingi tumboni

    Habari wadau, Nimekuwa na tatizo la reflux kwa muda mrefu na nimetibiwa hospital nyingi bila mafanikio, hivi karibu imekuwa worse kwa kuwa napata sore throat(choking type) na persistence heartburn, anayeweza kusaidia tafadhali kama kuna tiba asili (sio uganga wa jadi) pia nitashukuru.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawaachia huru Masamaki na wenzake watano

    Huyu DPP anatakiwa kuelewa kwamba anatumia vibaya kodi zetu, kwanini gharama zote zitumike kuendesha kesi ambayo haina mashiko?
Back
Top Bottom