chincoplem
Member
- Dec 29, 2014
- 6
- 2
Jamani ndugu wapendwa.......
Naombeni msaada wenu kila nikila baadhi ya vyakula napata kiungulia kikali ambacho kunanitesa week nzima.
Kwa mfano nikila viazi vitamu nashikwa na kiungulia..
Vivyo vivyo nikila dagaa wakavu, maharage na mbaya zaidi nikila tu mboga ilio ungwa na nyanya nyanya nyingi duh....... Shida kweli.
Nilijaribu kutumia dawa kama kuramba majivu beking poda.....
Msaada wenu waungwana.......