Unampa lift mtu kwa gari yako na ndani ya gari redio inapiga mziki mororow
akishaingia ndani ya gari unamuona anatoa simu yake, kisha anawasha redio ya sumu yake,
nasimu ni mchina, nyingi sauti zake zipo juu, je utamshusha au utazima redio ya gari yako msikilize redio ya ndani,
ya simu yake?