Recent content by Jomos

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hekalu la nani hili?

    Mjini kuna mambo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mtanzania usiue, usipigane na usitukane mwenzako kwa ushabiki wa kisiasa

    Greatest thinker. ..
  3. J

    JamiiForums Tanzania Really?????

    Geography ni shida
  4. J

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mtapoteza wateja kwa ubabaishaji

    Crdb ni majanga. .. wakuu mimi master card yao kila nikitumia kwa ATM naambiwa sina salio, ila nikiingia ndani wananipa hela.. nikiwauliza wananibinulia midomo...hela zangi lakini zinanitesa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kusugua au kusigina meno wakati mtu yupo usingizini

    Pole mkuu kwa tazizo lako.. - muone "dentist" atakusaidia... - atakupima na utatengenezewa "frem" kava ya plastiki unavaa juu ya meno wakati wa kulala... -tatizo hili mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo... -athari zake ni kulika kwa "layer" ya juu ya meno hivyo kupata ukakasi...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo zina viherehere

    Inashangaza mtu anaacha lami (njia kuu),, anahangaika na barabara mbovu vumbi, makorongo, miba, bado kila mdudu akatisha sababu nyingi zinakatiza vichakani.. jionee huruma mwenyewe, jithamini, jijali na jipende
  7. J

    JamiiForums Tanzania ukiipenda ichukue

    Nachukua mkuu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kumtahili mtoto mdogo wa kiume

    On birth... kitovu kikipona na kidonda kinapona
  9. J

    JamiiForums Tanzania Haya mawazo haya

    Very touching
  10. J

    JamiiForums Tanzania Picha ya leo

    Salute Mkuu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Gari, biashara na nyumba bora kipi?

    Mkuu 1. Fungua fixed account weka km 10m ? ( (benki hutoa faida kubwa kdg kwa acc hii vs muda) 2. Anzisha biashara ya km 3m 3. Faida utakayopata benki na biashara ingiza kwa ujenzi ( jenga taratibu anza na side house). 4. 5m ya tahadhari
  12. J

    JamiiForums Tanzania No comment

    Hiyo simba kagoma kwenda Mkuu.
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama uko kwenye ndoa na ukaumizwa na mwenzi wako kwa kuku cheat

    Kweli kabisa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Njia mbadala ya kunyoa vinyweleo

    Nimeambiwa kuna wax je hii ni kutu gani na inauzwa madukani gani au yapatikana wapi?Nina miezi minne sijanyoa kwa bibi nahisi mifugo itahamia
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mavazi katika ofisi za Umma: Utumishi watoa mwongozo

    Safi sana mtakula kuona mliozoea kwenda maofisini kuchungulia mapaja ya wenye vimini
Back
Top Bottom