Hapa kyela mjini hali ni shwari,kila mtu kaenda kupiga kura.hamna duka wala kibanda kilicho wazi,hakuna gari ya abiria yoyote inayoingia wala kutoka.njia ni nyeupe,mji ni mweupe.kweli watu wameamua.
uwanja umebadilishwa na sasa nipo uwanja wa takoshiri huu umati kwa mkesha wa kumpokea mheshimiwa ni hatari.watu ni wengi usiku huu hatari,burudani inaandaliwa ya kufa mtu.mweli njia nyeupe ikulu.haijawai tokea watu kuchizika hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.