Recent content by jolya02

  1. jolya02

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanaume kumpa jina mtoto aliyezaa na mchepuko?

    Jina anapewa na ukoo pia.
  2. jolya02

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Usiondoke furahia maisha kwan bei gani
  3. jolya02

    JamiiForums Tanzania 3 master keys to make your wife love u forever

    Mbona tupo na tunawapa wake zetu vyote hivyo.In Jesus name
  4. jolya02

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuombea zawadi za harusi kabla ya kuzifungua

    Its true mkuu,zawadi za harusi ni changamoto sanaa.Maombi yanatibu kila kitu.
  5. jolya02

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

    Mwongo huyu jamaa hii ni chai ya saa saba mchana.
  6. jolya02

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku kinga ilipopasuka nikiwa katikati ya gemu na mwanamke nisiyemwamini

    Tupo wengi ni mwendo wà kupiga mbichi tu.ila naona kama ni story tu.sidhan kama scientist washa prove hii
  7. jolya02

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuwa kibenten ndo raha hivi Ahsante bby kikongwe2018!

    Chai hii hamna kitu hapa.
  8. jolya02

    JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Kwa merinyo au hiyo mazingira naifahamu sanaaa
  9. jolya02

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mwanaume kumueleza mke mapato yake yote.

    Umenena vema dada.
  10. jolya02

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

    Mkuu, chakufanya tafuta mtaalam wa mipango miji au surveyor afanye site reconnaissance akupe majibu kwamba eneo lako limepangwa matumizi gani kulingana na mchoro wa mipango miji (TP) yaan town planning drawings. Baada ya hapo atakushauri ujenge au usijenge. Pia kwa Dar es Salaam kuna utaratibu...
  11. jolya02

    JamiiForums Tanzania Utata wa dhehebu lako katika kufunga ndoa

    Wasabato ni wasumbufu na ukipata mwanamke msabato lazma akomae uhamie sabato lasivyo huwez mpata.nikama wamelishwa imani kali sanaa.Yote katka yote mwambie jamaa achane nae atafute wa dhehebu lake kwani asipofanya hivyo ananunua ugomvi na mvurugano wa familia yao hasa watoto watakao...
  12. jolya02

    JamiiForums Tanzania Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

    Kweli dar ya zamani ilikua inatisha.si kwa matukio haya nliyo soma hapa ktk huu uzii
  13. jolya02

    JamiiForums Tanzania Navutiwa zaidi na majimama kuliko mabinti

    Watamu sanaaa.kwa tunao watimizia na wanasiri sanaa.pia na heshima juu.
  14. jolya02

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wa kweli kwa hawa tunaowaita 'wife material'

    Uko poa ishi maisha yako na mmeo atakufurahia.i do like that kind of free life and openness.
  15. jolya02

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mzaliwa wa kwanza changamoto zipi umekabiliana, unakabiliana na utakabiliana nazo?

    Kusomesha madogoo wotee wanaokufuata baada yako.hii imenikuta na inarndelea kunikumba na nimekubaliana nayo.kuwa msemaji mkuu wa familia
Back
Top Bottom