Recent content by Jolatizejono

  1. J

    Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

    Check hiyo link https://wauzaji.com/blog/biashara-ya-kuuza-mayai/
  2. J

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Hayo ni makosa ya mfumo wao hivyo itakuwa sawa tu au inawezekana imeshakaa sawa saiv heb preview application report Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Sjamwamini najaribu kumuliza ili aendelee kujikanyaga Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Ok, heb tuambie sasa kwann mtandao saiv unazingua hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Hahaaaa kichekesho et "zitatufika na tutajua ipi tuchukue na ipi tuache" Acha kuzingua Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Ile attachment husika ikishakuwa tayr itakuonesha kuwa "successfully uploaded mf application letter successfully uploaded Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Kipengele cha attachment kuna sehem ya kuattach barua kwa hyo lazima uandike barua Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Mtandao mwanzoni ulikuwa mzur tu mbona, sema saiv umekuwa slow mno Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    MSAADA JUU YA KUANGALIA SALARY SLIP ON LINE

    Naomba msaada, vip hapo vote code na sub vote code ni ipi???
  10. J

    Msaada, Epson L850 imenigomea

    Umeshapata solution?
Back
Top Bottom