Recent content by Jokanana

  1. Jokanana

    Msaada: Eti nilipe mahari milioni nne (4,000,000)?!

    Mahari haimalizwi kwa mkupuo. Omba punguzo na uwaambie unatoa kiasi ulichinacho. Kiasi kilichobaki waweza lipa hata miaka ishirini ijayo. Na anaweza kuja ilipa mwanao. Last year mume wangu alimaliza kulipa mahari ya mamake
  2. Jokanana

    Suzuki swift for sale

    Vip gari bado ipo? Kwa 7m ntapata?
  3. Jokanana

    Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

    QUOTE=kitomari2;7238894]hakuna mheshimiwa Kuna mdada tuko ofisi moja analalamika kuwa kuna mtu alitoa matangazo Jamii Forums kuwa anauza vifaranga alimtumia hela ya hivyo vifaranga tangu Oktoba mwaka jana mpaka leo hajapata vifaranga anaambulia hadithi. Kwa sasa hata simu yake hataki...
  4. Jokanana

    Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

    Kuna mdada tuko ofisi moja analalamika kuwa kuna mtu alitoa matangazo Jamii Forums kuwa anauza vifaranga alimtumia hela ya hivyo vifaranga tangu Oktoba mwaka jana mpaka leo hajamtumia. Sanasana hata simu yake hataki kuipokea. Ngoja niwasiliane nae usije kuniliza.
  5. Jokanana

    Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

    Mimi nipo Dar je hakuna usumbufu kwenye kunitumia?
  6. Jokanana

    Watoto wenu wote wanapitia hatua hii?

    Ni kawaida yao hata ukichapa hataacha.Kipindi hicho kitapita tu.
  7. Jokanana

    Rev. Damasius Mkenda afiwa na mkewe

    Ni karibu na kanisa la KKT la pale kwa Msuguri.Ukitoka Ubungo kuelekea Morogoro ni upande wako wa kushoto.
  8. Jokanana

    Rev. Damasius Mkenda afiwa na mkewe

    Rev.Damas Mkenda ambaye ni memba humu amefiwa na mkewe tangu jana tarehe 25,Februari,2013 .Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu kuelekea Rombo kilimanjaro inaendelea pale Mbezi kwa msuguri.Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.Amina
  9. Jokanana

    Mtoto mchanga analia sana

    Hapa natofautiana na wewe kumlaza kwa tumbo inampa nafuu zaidi.Pia utakapomuweka begani muweke kwa muda mrefu hata robo saa ili atoe gesi hata zaidi ya mara moja.
  10. Jokanana

    Opinion: Matokeo Mabaya ya Form IV, Jee?, Is It "Real?F" or there is a "Conspiracy Theory Behind?!.

    Tatizo lipo katika mfumo wote wa elimu,walimu wa shule za Serikali walishajikatia tamaa,wanafundisha ili muradi tu.Mtoto anayesoma shule ya kata kwa miezi sita unakuta ameandika notisi hata hazifiki kurasa kumi nenda kachukue daftari ya mtoto wa Private iliyo serious unakuta ameandika daftari...
  11. Jokanana

    Riwa: NImekwazika kupita kiasi..

    Pole dokta kila mtu na akili yake,
  12. Jokanana

    Je Rafiki Yako Akiwa Gynaecologist Utaruhusu Amtibu Mke Wako?

    Ni ngumu kwa kweli,mimi binafsi ilinikuta wakati nilipoenda kujifungua na yeye kuwa daktari wa zamu na uchungu umenikamata,nashukuru alinitafutia daktari mwingine ,kwani hata mimi mwenyewe sikuwa radhi anizalishe kwa sababu ni mtu aliyekuwa tukitaniana nae sana.
  13. Jokanana

    Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

    Ameiba wapi Lowasa?anavyochafuliwa kama ameiba unadhani wangemuacha?
  14. Jokanana

    Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

    Kweli mkuu sasa hivi mtu akiwa na pesa atahusishwa na ufisadi au freemasons watu wamekuwa na fikira potofu hasa!
  15. Jokanana

    Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

    kweli anatakiwa mchapakazi na siyo bla bla
Back
Top Bottom