Je Rafiki Yako Akiwa Gynaecologist Utaruhusu Amtibu Mke Wako?

hahaha. Haya mkuu, ila hata sie wa kizamani ni watu pia.

dada yangu hakuna sehemu medical ethics inakuzuia usitibu ndugu au rafiki. Ni ile tu kuondoa tense in human nature ili usije ukasababisha madhara mengine. Imagine wewe ndo upo na huyo nduguyo anaumwa utamuacha? Watu wengi wanaongea kwa hisia kwa sababu ni k, mbona huwa mnawapigia simu madaktari kwa matatizo mengine? Madaktari wanachukulia k kama kiungo cha kawaida sana sawa na vingine, kwani kaona ngapi? Mbaya na nzuri? Tena wengine mnaendaga hospital tu ili ukamtege docta, huumwi wala nini! Kuna siku mzee wangu aliugua nikampeleka hospital na ikabidi awekewe drip na nurses na cos wakawa wanashindwa kuweka kanula. Walitumia karibu 5 zote wakafail. What i did nilivaa gloves na kuweka mwenyewe only once. Jamani tuondoe mawazo kwamba k inachunguliwa, mbona hata aliyekutibu at times anakuwa rafiki yako,ina maana hutaenda tena.? Na hakuna sehemu inayosema daktari wa kike ataona wanawake tu na wa kiume wanaume tu!
 
Mhh hilo balaa, kwangu haliwezekani, shwali lamcngi kwani huyo gynaecologist yuko peyake?
 
Ni ngumu kwa kweli,mimi binafsi ilinikuta wakati nilipoenda kujifungua na yeye kuwa daktari wa zamu na uchungu umenikamata,nashukuru alinitafutia daktari mwingine ,kwani hata mimi mwenyewe sikuwa radhi anizalishe kwa sababu ni mtu aliyekuwa tukitaniana nae sana.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom