That moment you are in group of three and someone u dont know fart. In no time one asks the other did you do that and he denies and lastly both of them are looking at you...
Hahahahaha we jamaa boya kweli na kujiamini kote unaweka hadi na links za contacts ili nimpigie au!!?
Julian yupo uingereza sawa ila sio kwenye ardhi au mamlaka ya waingeleza. Yupo katika ubalozi wa ecuador ndipo alipo pata asylum hapo. Na akitoka tu hapo anakamatwa. Kataa uje na number za simu...
Ifahamike ya kwamba serikali yoyote ikiwa sawa ama sio sawa... endapo mtu yeyote atakaye weka ama kuashiria vitisho vya kiuchumi jamii ama usalama wa nchi kutokana na interest za nchi. Basi huyo mtu hatohesabiwa haki na nchi husika.
Edward Snowden pamoja na asange walitoa siri nyingi za us kwa...
Swala la ukimbizi ni swala ambalo halitabiliki jamani... wanasema ona kwa mwenzako tu yasikukute wewe. Mkimbizi si mpaka utoke kabisa nje ya nchi hata ndani ya nchi unaweza ukakimbia hata mkoa wako bro.
Tanzania ilikubaliana kujihusisha na swala la kukubaliana kuwahudumia wakimbizi mnamo mwaka...
Na huo ndio utaratibu wa kimataifa... hata ivyo nchi huwa inamamlaka ya kuamua kwanza kama kuwapa ruhusa ya kuingia ama lah... Mashirika kama Unhcr yapo kusaidia na kuangalia haki zao kama zinafuatwa lakini pia kuwasaidia katika mambo ya haki zao makazi vyakula nk.
It doesn't matter what you do... what matters is How you do it.
Matusi mengi kwenye mambo ya msingi hayafai hata kidogo. Kuna saa unaweza soma post za huyo dada ukashindwa kula asee. She's too much.
mkataba wa kimataifa wa mwaka 1951 pamoja na mwongozo wa itifaki yake ya 1967 ambazo huelezea sifa za mtu kuwa nazo mpaka kufika hatua ya kupatiw jina la mkimbzi na jinsi gani ataweza kuudumiwa huonyesha zahiri kabisa kuwa mkibizi
ni mtu yeyote yule ambaye HASWA amegundulika luwa yupo katika...
Retail vs wholesale
Ni bora kukusanya kodi kidogo kidogo kuliko kukusanya bulk-taxes ambazo zitawafanya walipaji wadogo kushindwa kulipa.
Kwa mfano angalia matabaka ambayo yapo katika jamii zetu. Wenye uelewa wa kulipa kodi ni wachache bado. Na hata kama wanalipa hawafahamu kuwa wamelipa...
As long habari ni ya kweli. Inawezekana kuna watu waliofanyiwa unyama zaidi tunao ona kwenye picha hizo za mwaka juzi.
Mnaosema picha za zamani tupeni zenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.