Recent content by Johnson mushi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Magu kiboko,mpaka waganga wa kienyeji wanatafuta njia nyingine za kupata peas,Magu Mungu akuepushe na mabaya na akupe maisha marefu baba
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What happened to Fastjet?

    Vilio vya abiria wengi waliothulumiwa na fastjet Mungu anajibu na itafutika kwenye anga verysoon
  3. J

    JamiiForums Tanzania Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Wivu wa kike
  4. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mawaziri katika serikali ya Rais Magufuli wameanzisha mgomo wa kimyakimya?

    Mweshimiwa Rais ,tafuta vijana kama Makonda fanya kazi nao nchi isonge mbele kwa faida ya watanzania wote,tatizo la hawa wasaidizi wako walishazoea kupiga mihela na we umebana,lazma wakugomee
  5. J

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge: Hali ya afya ya Spika Ndugai inaendelea vizuri, kurejea nchini wakati wowote

    Jamani tuweke utu mbele,tumwombee speaker wetu apone haraka,s iasa siyo uadui tuwaige Kenyatta na Raila
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi ya Kenya na Immigration mmeshindwa kuwadhibiti Waethiopia wanaokimbilia Afrika kusini?

    Hapa swala siyo rushwa kwa upande wa Kenya,ila hawataki kungia gharama za kuwaweka ndani na gharama nyingine lukuki maana hawa ni binaadamu, ndo maana wanawachilia,mimi naona hata sisi tufanye kama kenya
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla: Watu wetu wakivuka kwenda kuvua samaki wanauawa, Sasa wakao Wakivuka tutajua cha kufanya

    Inaonyesha huyu waziri ni mzalendo kweli kweli
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amejiunga na kanisa la 'kiroho' na inapelekea kutugombanisha; naomba ujanja wa kukabiliana na tatizo hili

    Ulimruhusu kwenda kwa makanisa hayo mapema mno,angalau kandoa kenu kangekuwa na miaka kumi sauwa ,na pili siku hizi Lutheran wokovu upo aende huko mfano kimara (korogwe)na kijitonyama, ongea naye kwa hekma brother.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ICC watua nchini; Waridhishwa na ushirikiano ambao imekuwa ikipatiwa na Tanzania

    Ofisi zao zipo Arusha mkumbuke, mbona wanakujaaga mara nyingi kufanya kazi na kuondoka?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Anayejua makweme na makilaume aje hapa

    Kwa jina liingine ni matungucha
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli Amtumia Salaam Za Rambirambi Rais Uhuru Kenyatta Wa Kenya Kufuatia Vifo Vya Watu 36 Kwenye Ajali

    Rais wetu katimiza wajbu wake hapo,hayo mengine yakwenu wapinzani
  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ni moja kati ya hazina chache tulizotunukiwa Tanzania

    Nadhani Makonda ndo mkuu wa Mkoa mchapa kazi zaidi na asiye mbabaishaji.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Rais wangu Magufuli songa mbele baba,dunia mzima inaona uzalendo wako
  14. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    Siamini kama waziri kakurupuka,na siamini kama ndugai kufanya kautafiti hata kadogo tu, mpaka afikie kumpinga waziri
Back
Top Bottom