Tatizo la wasomi kukosa vyeti vya elimu ya msingi and sekondari lipo kwa watu wengi waliosoma miaka ya nyuma... nilitegemea Mzee Tupatupa angelieleza hili vizuri.
Miaka ya nyuma (pengine hata sasa pia) vyeti vilichelewa sana kufika shuleni baada ya mwanafunzi kumaliza rasmi elimu yake. Hili...
Mkuu Mwasu, nakuunga mkono kwa mifuko hii kuwekwa chini ya BoT ili uzalishaji wa fedha unaofanyika uweze kunufaisha wachangiaji wake. Chini ya BoT, mifuko hii itatakiwa kutoa gawio la faida ya biashara kwa wachangiaji kama mrejesho wa uzungushaji wa fedha unaofanyika.
Kinyume na hapo ni utapeli...
Mabadiliko gani unayataka zaidi ya Meya kutoka CHADEMA?
CCM hamuishi vihoja... mmepindua ya Zanzibar, na huku mlitaka kuongeza kura 67 hadi zizidi 84? Msitafute mlango wa kuwanyima watu wa DSM maendeleo kwa kigezo cha Meya toka CHADEMA!!
Kudadeki, Watanzania walikula "nyama ya mtu" kipindi cha uchaguzi sasa wamehamia kwenye UDINI. Dhambi itaiandama CCM hadi nchi iifie mikononi... yetu macho, mfyuuuu!
Huo ni UKABURU na mara zote huwa una MWISHO. Makaburu wa SA walikuwa na nguvu sana ukilinganisha na Serikali ya Muungano wa Tanzania, lakini ilifika mahali nguvu ya wenye haki ikatawala. Kinachosumbua Zanzibar ni UBAGUZI unaofanywa na kundi dogo lenye kudhani wataongoza milele!
Manispaa inachoangalia ni kukosa kodi WALA sio haki iliyopotea kwa muda mrefu kwa wakaazi wa K'ndoni.
Hawa ni "mbwa-mwitu" waliojaribu kujivisha "ngozi-ya-kondoo" kwa sababu hapo awali walikuwa chanzo cha upimaji holela "over-sudden" wamebadirika na kutaka kuwaadhibu wananchi kwa makosa yao...
PM ameanza kushindwa mapema hivi?! Anafaa kuambiwa kuwa utendaji wa Serikali hauna uhusiano wowote na shughuli za vyama vya siasa.
Biashara kuu ya vyama vya siasa ni kufanya siasa ili kuongoza dola. Hivyo, shughuli za kushika dola zianaanza pale uchaguzi unapokwisha pasipo lengo kuu kutimia...
wizara ifufue "Elimu Supply" walau kusimamia "standardization" ya vitabu vya kiada na ziada kwa shule za msingi na sekondari.
Elimu isihachwe kuwa biashara ya "publishers" uchwara wanaopigana vikumbo kuingiza vitabu vyao kwenye ufundishaji. As of now, there no professionalism at all!!
Anatafuta "excuse" za kuendelea kusafiri kila kukicha, yeye ajue tumechoka maana Rais wake hajaondoa mguu zaidi ya kwenda Dodoma.
Nina wasiwasi mleta mada ametumwa ili aendelee na "kiguu na njia".
Watanzania tuna safari ndefu sana!
Ilipotoka ile video ya traffic kila mtu alipaza sauti na yule afande akafukuzwa kazi. Kuna mtu alihoji "integrity" ya video ile?! Au kwa ulofa wetu tunadhani mtu hawezi kutengeneza video ya namna ile?! Vipi kuhusu mtoa rushwa katika video ile, alichukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.