Recent content by johnrobbie

  1. johnrobbie

    JamiiForums Tanzania Tsh 3,500,000 Kwa Daktari wa Watanzania ni aibu!

    kama kuna watu wajinga(sio wapumbavu) humu JF we ndo wakwanza yaani mpaka leo unajua wakisema mtu anapelekwa nje inamaanisha madaktari wa bongo wameshindwa pole sana..mtu anapopelekwa nje ni kwamba madaktari wamegundua tatizo lakini tiba yake haipo Tanzania (kwa sababu sekta ya afya haina...
  2. johnrobbie

    JamiiForums Tanzania Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

    SOMA HII KAMA UNA IQ SCORE ZAIDI YA 190 Baada ya miaka kumi tu ijayo kuanzia leo wananchi watakuwa wanaandamana kuishinikiza serikali kusolve tatizo la hospitali kutokuwa na madaktari wa kutosha kwani hamna mwanafunzi aliehitimu PCB advanced level atakae taka kusoma fani ambayo ni ngumu, miaka...
  3. johnrobbie

    JamiiForums Tanzania Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    FOR EVERYTHING BE CAREFULL tunaomba chanzo chanzo cha habari kwa uhakika kuhusu hapo nilipo highlight red(MUHAS)
  4. johnrobbie

    JamiiForums Tanzania Mpya ya madaktari.

    Run you brain before engaging your mouth and hands
  5. johnrobbie

    JamiiForums Tanzania Alichosema mtatiro kuhusu vurugu za zanzibar

    walewale wasifikiri vizuri sasa mtapata nchi kwa kuchoma makanisa???? kwani wakristo ndo waliochukua nchi yenu ??? you are not great thinker..... please admin. get this hell out of here
  6. johnrobbie

    JamiiForums Tanzania Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

    Alama ile inamaanisha tiba nakubaliana na hoja ya kijiti kilichotumika kutoa minyoo mwilini kwa ile hoja ya musa iko kidini zaidi wengine hawataamini hata km ni sahihi... na je ule ukumbi wa nkurumah wa UD unamaanisha nn?
  7. johnrobbie

    JamiiForums Tanzania Haya ndio yanayotufanya wazanzibar tuuchukie muungano

    Kama ulishaweka akilin kwamba kuna ubaguzi kati ya bara na znz hakuna utakaloliona jema kwanza ondoa hizo kasumba kisha fuatilia kiundani usikurupuke kulaumu muungano
  8. johnrobbie

    JamiiForums Tanzania Key activator kerspersky

    usiishie kuongea tu mkuu fanya mambo tuipate
Back
Top Bottom