Haya ndio yanayotufanya wazanzibar tuuchukie muungano

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Shule nyingi za Zanzibar zimepewa alama ya W.

kwa mfano
S3000 MAZIZINI ISLAMIC SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 0 FLD = 0 . hawa ni zaidi ya

wanafunzi 51.

Shule inayoapakana majengo , Skuli ya Kiembe Samaki Hakuna W. kina F na D.

Mikunguni, kati ya wanafunzi 42, 5 tu walionekana wameletewa matokeo yao .

Shule ya Jangombe kati ya wanafunzi 176 , 53 wameletewa matokeo yao ya alama za D na F huku mengine yakindikwa (W) .

Shule ya Jangombe ipo karibu na Kidongochekundu ambayo haina W

Shule ya High View ,kati ya wanafunzi 78 , 9 tuShule ya Laureate ni wanafunzi 2 kati 48 . Hizi shule mbili zipo pua na mdomo na Shule ya Chukwani ambayo hakuna aliepewa W.kuna F za kumwaga.

S1352 SUFA SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 5 FLD = 2 kati ya wanafunzi 40, 7 ndio nacte imewaachia.

Hii imepakana na Mwanakekwe C ambayo haina W hata moja

. Shule ya Hamani kati ya wanafunzi 176 wanafunzi 14. shule hii ipo pua na mdomo na shule ya Benbella, haile salas, vikokotoni na Tumekuja hizi zote hakuna W

. Bilali Seminary ni wanafunzi 4, kati ya 46 ndio waliokoswa kubakwa na NECTA. waliobaki ni D na F. shule hii ipo pua na mdomo na Shule ya Nyerere ambayo haina W, imejaa D na F

Shule za Zanzibar zote zipo karibu sana.wanafunzi wanaishi pamoja, wanadurusu pamoja

. Kwa hali ya kawaida inaonyesha mtihani umevuja tena umevuja kupindukia. MTIHANI UNATUNGWA BARA. NA KAMA UMEVUJA ZANZIBAR BASI HATA DAR UMEFIKA, HATA IRINGA NA TABORA UMEFIKA.LKN ZANZIBAR IMETOLOEWA KAFARA

KAZI IPO YA SIMU ZA MKONONI?

.Haya sio yale ya kutumia simu za mkononi. hi lkn jee kama umevuja Zanzibar ushindwe kufika bara?Hivi wabara hawapendi. Kwa upande wa Tanzania bara hamna W. Jee hizi shule zilizofutiwa hao waliopatiwa matokeo wote ni div 4. NECTA IMETUMIA FORUMULAR GANI?

SHULE KAMA KIBASILA, SHULE YA BENJAMINI MKAPA, JANGWANI LICHA YA KULALAMIKIWA KWAMBA WATU WANAFUNZI WAMEKAMATWA NA MTIHANI HAKUNA W

L
 
Kamlalamikieni chekacheka, Nderichako ametimiza wajibu wake!
 
Kamlalamikieni chekacheka, Nderichako ametimiza wajibu wake!

ametimiza wajibu gani? kama wajibu ndio huu basi ni wazi waznz wanahaki ya kuukata muungano.
Ni vigumu kuamini aliefanya NDALICHAKO
 
Kama watanganyika wakiona pesa za umma wanaziiba. washindwe kuiba mtihani? ndalichako anadhani waznz wanaishi maisha ya angani hawajui watanganganyika walivyo?
 
" Samahani wasahishaji wa mtihani hata kama nikifeli naendeleza fani yangu,machizi wangu wa east vp mbona mmesizi? Demu wangu mwanzo ulikua mzuri lakini sasa umekua mbaya yo yo yo"
 
Kama ulishaweka akilin kwamba kuna ubaguzi kati ya bara na znz hakuna utakaloliona jema kwanza ondoa hizo kasumba kisha fuatilia kiundani usikurupuke kulaumu muungano
 
Kama ni kweli ths is very bad hayo ni maisha ya mtu si vizur kuyafnyia masihara,aftal al acha mpgwe bao 2 viongzi hao hao mliwachangua wenyewe.
 
Kwani muungano ndiyo ulikaa darasani kufanya mitihani? Mmesahau kuwa kabla ya muungano mlikuwa mkifundishwa elimu ya kiarabu ili muwe watwana safi kwa waarabu waliokuja na kubaka na kuua ndugu zenu? Hapa tatizo si muungano na kama ni kufanya vibaya hata bara wamefanya vibaya. Wazanzibari wanachukia muungano kutokana na kutojiamini na kasumba za wengi kujiona ni waarabu kuliko waswahili. Nendeni uarabuni muone mnavyoitwa abdi au watumwa. Hakuna anayewang'ang'ania. Badala ya kulalamika uvunjeni muungano muone cha mtema kuni. Yaani mara hii mmesahau kuwa bara iko kwa ajili kuzaliana na kuneemeka kiasi cha wazanzibari wengi kuishi bara kuliko Zanzibar! Hata hao akina maalim Seif wanaowahadaa wanatumia muda mwingi bara kuliko Zanzibar.
 
Kweli nyani haoni kundule, Matokeo bara si balaa tupu pia. Huu ni muda wa kutafakari na kuchukua hatua kunusuru elimu Tanzania.
 
Kwani muungano ndiyo ulikaa darasani kufanya mitihani? Mmesahau kuwa kabla ya muungano mlikuwa mkifundishwa elimu ya kiarabu ili muwe watwana safi kwa waarabu waliokuja na kubaka na kuua ndugu zenu? Hapa tatizo si muungano na kama ni kufanya vibaya hata bara wamefanya vibaya. Wazanzibari wanachukia muungano kutokana na kutojiamini na kasumba za wengi kujiona ni waarabu kuliko waswahili. Nendeni uarabuni muone mnavyoitwa abdi au watumwa. Hakuna anayewang'ang'ania. Badala ya kulalamika uvunjeni muungano muone cha mtema kuni. Yaani mara hii mmesahau kuwa bara iko kwa ajili kuzaliana na kuneemeka kiasi cha wazanzibari wengi kuishi bara kuliko Zanzibar! Hata hao akina maalim Seif wanaowahadaa wanatumia muda mwingi bara kuliko Zanzibar.

........................................................................
Mi nadhani hujaelewa wancholalamikia hawa..ishu hapa sio kufeli kwani shule nyingi zimefeli hata huku bara...tatizo ni matokeo mengi kuwa with-held hata mimi napata kigugumizi kama wanafunzi walifanya mtihani 53 halafu yanatoka matokeo ya mtu mmoja..hapo ndipo nisipoelewa kabisa nna matokeo ya shule nyingi yamezuiliwa pia..
 
Hivi ikiwa wanafunzi 52 kati ya 53 waliomo darasani matokeo yao yanafanana, inamlazimu msahihishaji kuyashikilia hadi ya huyu mmoja ambaye inaonekana yeye ana majibu tofauti na wenzake ili mradi tu awafurahishe hawa wapemba?

Au nyinyi mlitakaje labda?
 
[h=3]
S0165 URU SEMINARY
[/h][h=3]DIV-I = 16 DIV-II = 21 DIV-III = 7 DIV-IV = 0 FLD = 0 [/h]hiyo ni kweli kabisa na kama wataendelea kulazimisha kuwa kama hivi basi baada ya Somalia inafuata Zanzibar na kama hawaamini waache wajidangaye na kufikiria kuitawala Zanzibar ki Uchumi.Maendeleo na hata ki Elimu na huu ndio mwisho wa kile kiitwacho Mu u ngano
 
Haingii akilini kama shule hizi zote yafutwe matokeo wasimamizi wasihusike. Hii ni karata 3 za necta. ;lkn ,mwaka huu atajuta alichofanya
 
Back
Top Bottom