mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,379
- 3,826
kama hizi taarifa ni kweli basi sasa naanza kuamini tahrir square yetu haiko mbali.
Mimi nachalea huu ubabe mawazo yako yanaashiria kitu hata kama siTahrir
kama hizi taarifa ni kweli basi sasa naanza kuamini tahrir square yetu haiko mbali.
Hivi kwa mwendo huu miaka ijayo mbeleni wenetu watasomea udaktari kweli? Labda kama watakukuwa na uhakika wa ajira za Botswana
hawa madokta hawa yaani we acha tu..wanachojivunia ni kuwa sio kila mwanasiasa anaweza kuwa dokta, ingawa madokta wote wanaweza kuwa wanasiasa..
sasa kitu gani cha ajabu hapo nawe!! si hawataki kufanya kazi waendeleee kukaa wanafanya nini?? walipwe mishahara bila kazi??
Kweli ww hamnazo'eti kuanza upya c ujinga'..unajua elimu ya ma drs ni miaka 5 ww?unapoanza upya hao wagonjwa watatibiwa na nani?.do u think drs wakifukuzwa wanashida?kwa taarifa yako wanauwezo hata wa kuwa wafanyabiashara wazuri sana,...think b4 u write!
seriously, serikali na madaktari watatuua...................
Si ndio hapo sasa, hata mie mwenyewe najishangaa ninastaajabishwa na nini hapo. !
Kwa hiyo nasi tugome kukatwa kodi kwa kuwa hatupati huduma za afya kutokana na mgomo!
FOR EVERYTHING BE CAREFULL tunaomba chanzo chanzo cha habari kwa uhakika kuhusu hapo nilipo highlight red(MUHAS)Taarifa ambazo zimethibitishwa zinatabanaisha kuwa madaktari walio katika uzoefu kazini,INTERN doctors wameanza kufukuzwa katika hospitali mbalimbali ambapo katika hospitali ya DODOMA madaktari 11 kati ya 33 wamefukuzwa na madaktari wote 70 waliokuwepo hospitali ya rufaa mbeya chini ya ulinzi mkali wa polisi wameambiwa waondoke kufikia saa 11 jioni ya leo wakati huo huo mkurugenzi wa hospitali ya BUGANDO amewafukuza madaktari wote 44 na kuwataka warudi wizarani wakati madaktari waliosajiriwa wameamuriwa kufika kesho wawe kazini au la wanafukuzwa.
Wakati huo huo madaktari wakazi waliitwa na senate ya BUGANDO na kulazimishwa kurudi kazini lakini walikataa mbele ya senate hiyo hivyo wakaambiwa watafutiwa udahili wao na wote kwa pamoja wakapiga makofi wakisema wako tayari kwa hilo.
Habari zaidi zinazidi kupasha kuwa hospitali ya Mwananyamala wameletewa fomu za kujaza kama wako tayari kuendelea na kazi au la,ila madaktari wamesimamia msimamo wao huo kuwa mgomo uko pale pale.
Katika hatua nyingine CHUO CHA TIBA BUGANDO NA KILE CHA MUHIMBILI VIKO MBIONI KUFUNGWA kutoka na walimu wao ambao ni madaktari kugoma na mazingira kutokuwa rafiki kwa kujifunzia.
Wakati hayo yakiendelea taarifa zinasema hsopitali ya Tanga BOMBO imeingia rasmi kwenye mgomo na ile ya MOUNT MERU
Habari zaidi madaktari wanajiandaa kwa mass resignation muda wowote
\
Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.
Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.
Wanaweza kabisa kusomea udaktari maana kuna nchi nyingi tu za jirani ambazo zinawathamini sana madaktari na pia huwalipa vizuri na kuwapa vitendea kazi.
wakati tunasheherekea mgomo wa madaktar tusisahau kua wamegoma kututibu sisi watanzania wa kawaida kbs ambao apollo tunaisoma kwenye magazeti tu....kwa hali hii tuombe na magonjwa nayo yagome