So called mtoto wa mkulima anapanda jukwaan...mkuu wa wilaya anampa zawadi i.e kondoo, ndama, kinyago cha faru, mgorori....zawadi nyingi sana magunia ya vitunguu, mbaazi,....anasema karatu hoyeeee mikono kuu, kikwete juu. Anasema haijapata kutokea. anamkaribisha Natse jukwaani Natse anaanza na...