Recent content by Johnnybravo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Business managing system (POS)

    Mfumo unaitwa Business managing system. Pia unaweza kuuita kwa jina la biashara yako. Mfumo umetengenezwa na Mimi hapa Johnnybravo kijana wako hapa wa computer science ko usiwe na wasiwasi gusa contacts hapo tuwasiliane.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Business managing system (POS)

    Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako kidigitali? Business management Systems inakupa uwezo wa kusimamia biashara yako kwa kutengeneza Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unatumika kwenye computer na simu pia, hivyo unaweza kutumia popote ulipo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Aloo wewe Shimba ya Buyenze tumesema ni warembo wakali world wide Uzi uzingatiwe
  4. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Ee bn wapi iyo mze show
  5. J

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu Infinix Note 30 pro na maajabu yake

    nb: sie wengine Bado tupo uchumi wa kati simu ya laki 3 itapendeza, laki 6 dah huo ni uwekezaji mkubwa sn hasa kw simu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu Infinix Note 30 pro na maajabu yake

    Ko hapa Chief-Mkwawa tungojee Bei itashuka ama vp na ni simu Gani hizo(brand) zenye hiyo processor kw laki 3
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    😂😂😅 uoga huo mkuu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Temeke vp bado tuendelee kusubiri au ndio majina yametoka kimya kimya?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Eeh bn.. iyo disk health ndio unaangaĺia vipi mkuu?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Wakuu bila kujali chanzo katoa wapi hizi habari ni kweli, kuna jamaa yangu aliyeapply hizi kazi ameona jina lake hapo
  11. J

    JamiiForums Tanzania MDH kimyaaa au mshawekana kindugu

    Ko kikawaida mkuu huwa inachukua muda gani tokea interview hadi kuitwa kazini
Back
Top Bottom