Recent content by Johnmhagama

  1. J

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM waliozomewa mpaka hivi sasa

    Kuhusu chenge anakubalika sana huku bariadi magharibi. Cha kushangaza wanasema ni kweli fisadi ila ameiba huko dar es salaam kisha akaleta huku bariadi. Hao ndio "wasukuma" ni zaidi ya muwajuavyo.
  2. J

  3. J

    JamiiForums Tanzania Jamani kaburi la kanumba laleta kizaazaa

    Maajabu mengine yatatokea, baada ya siku kumi utakuta mashada ya maua yamekauka alafu muweke kwenye blog zenu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kifo cha gazeti la MwanaHalisi, Je wameshidwa kuliendesha?

    Hoja yako makini ila makosa ni madogo tu. Mwanahalisi halimchafui mtu bali linawaweka hadharani wachafu, na hao wachafu hujitetea kwa kuita majungu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Aibu hii kwa waandishi wa habari wa kike Arusha haivumiliki

    Naomba wahariri wao wachukue hatua kuhakikisha hii tabia inatoweka, vinginevyo tutakosa imani na vyombo vyao vya habari.
Back
Top Bottom