Jamani kaburi la kanumba laleta kizaazaa

Huyu alikuwa na nianjemaalitaka kuwaonyesha jamani zile pesa mlizotoa ziliishia mikononi mwa waheshimiwa wenye suti nyeusi na miwani na hivyo hili sio la kushangaza

hata mm ningekuwa mmoja wao ningewapiga sana tena sana..............
 
Utakuwa huangalii bongo movie wewe!!!
Yaani sijui nilikuwa dunia gani, nilikuwa simfahamu kabisa KANUMBA
mpaka siku aliyokufa. Yaani Ajabu kwelikweli sijui imekuwaje nikashindwa
kumfahamu mtu huyo hapo kabla.
 
that should have been a common and normal engineering problem ..... the crowd at the grave yard looks to be excessive in a small area that caused downward forces and hence un even-settlement at the grave yard structures of Steven Kanumba ... either it was supposed to be made in a form of precast concrete instead of green concrete .... that is the tomb stone of the grave yard
 
No!!! anachosema hapa kipo so realy lile kaburi lilijengwa kwa cement na kumwagwa zege na nondo, haikuwa sawa kwa lenyewe kuanza kutitia leo hii 5 days after. watu walichanga sana kumzika star wao kiheshima, hata kama kuna watu wengine hawakumfaham hadi anafariki, ni kule kukosa kwao uzalendo kwa Entertainment industry za Home. HAPO IULIZWE KAMATI TENA BWANA LUGE NA BWANA MTITU NA SHIGONGO Walikuwa ndani na wote CV zao c nzuri sana.
 
Mkuu usiseme haiwezekani! Hii obviously itakuwa ni technical problems. Km umewahi kuona ghorofa likijengwa,formwork kwa ajili ya suspended slab zinashikiliwa na mirunda(props). Kwa kaburi km lile hakuna uwezekano wa kuweka mirunda,hivyo yatakiwa kuwepo na members imara,holizontally ili kubeba uzito wa nondo na zege! Hapo ndo kosa lilipo! Kudidimia huko wenda kumesababishwa na udhaifu wa formwork. Lakini pia 1.5m iliyotajwa na baadhi ya media kuwa imetumika kujenga hilo kaburi yaweza kuwa kidogo kwa kufanya kitu imara na cha uhakika!
 
nawezekana wasanii wenzake walichakachua hadi pesa ya kujengea kaburi... FULL USANII
 
hakuna cha ajabu hapo au wewe hujawahi kutembelea makaburi?
ngoja nipite mie nishatosheka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom