Makada wa CCM waliozomewa mpaka hivi sasa

na mimi nachukua fursa ya kuwazomea ccm wote watakaosoma ujumbe huu. Haooooooooooooooooooooooooooooo wezi haoooooooooooooooooooo, wauaji haooooooooooooooooooooooooooooooo, mafisadi haoooooooooooooooooooooooooo, waongo haooooooooooooooooooo.




hata lowasa alishazomewa pale tunduma akielekea kwenye harambee, watu walijipanga barabarani na matawi ya matawi ya miti alipofika akadhania kuwa watu wamekuja kumpokea kwa sababu ya upendo wake kwa wananchi kilichotokea hakuamini walipoanza kuita mwiziiiiiii, fisadiiiiiiiii, barabara ikafungwa kwa mawe makubwa mpaka polisi walipokuja, pia shamsi vuai nahodha alizomewa huko huko mbeya mpaka gari ikaangukia kwenye mtaro, makamu wa rais pia huko huko mbeya alishaionja joto ya jiwe
 
Kuhusu chenge anakubalika sana huku bariadi magharibi. Cha kushangaza wanasema ni kweli fisadi ila ameiba huko dar es salaam kisha akaleta huku bariadi. Hao ndio "wasukuma" ni zaidi ya muwajuavyo.
 
Kuhusu chenge anakubalika sana huku bariadi magharibi. Cha kushangaza wanasema ni kweli fisadi ila ameiba huko dar es salaam kisha akaleta huku bariadi. Hao ndio "wasukuma" ni zaidi ya muwajuavyo.
 
1. kwani aliyesema nyoka wa ndimi 2 wapo CCM na serikalini ni nani kama si mwenyekiti wa chama chetu cha CCM mheshimiwa JMK au ni m/kiti wa CDM?

2. kwani aliyesema ndani ya CCM kuna magamba na tujivue magamba ni nani kama si m/kiti wetu wa CCM JMK? si hivyo tu bali hata wala rushwa alituambia anawafahamu kwa majina ndani ya serikali na akasema waache kwani atawaumbua.

Kwahiyo ni vema tukafahamu kuwa yasemwayo ndani ya JF kuhusu viongozi wetu ni kweli yapo na inapotokea vyama vya siasa na mwananchi mmoja mmoja kuhoji, kudhihaki, kukosoa, kuzomea ubovu wa watendaji wetu hapa JF na mitandaoni tusilalamike kwani wako sahihi hata mheshimiwa raisi anafahamu hayo.
 
asa ndo nn??,naona ulikua umetoka kunywa wanzuki!,na hilo ni swali la kuuliza au ndo yale yale!!!!!
 
Back
Top Bottom