Recent content by Johnbosco Mligo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    safi sana kaka!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuhusu ujauzto na hili?

    Hakuna ukweli juu ya hilo, mie nimeshuhudia wengi tuu waliozaa salama salimini!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu afariki dunia!

    Mpendwa sana askofu mstaafu raymound mwanyika wa jimbo katoliki njombe amefariki dunia! Mwenyezi mungu ampkokee kwake na amuheasabie mema yake yote na kumsamehe madhaifu yake.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa amaliza ziara Marekani

    kichwa kichwa kichwa! Magamba mpo!!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa amaliza ziara Marekani

    daa mtake msitake huy jamaa ni great! bila shaka wazungu wameelewa kuwa tz bado kuna vichwa maana walizoea kuyaona magamba yakitabasamu bila point! bravo sana DR SLAA WA UKWELI!!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    naomba maoni yenu jamani! hivi nyerere angekuwa hai angekuwa bado CCM? kwa maana naona mawazo yake Mengi ni ya chadema!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madai ya Dkt. Slaa kuhusu wafungwa wa kigeni kuletwa na kufanya kazi Tanzania

    Aliyelala usimwamshe, ukimwamsha utalala wewe! Watanzania tumelala, mwalimu wetu kipofu! Wachina so wajinga ati watuamshe!!!!!!!!!!!!! Wana wazimu?!1111
  8. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwenezi CDM wa kata ya Nysincha (w)Tarime amefariki dunia

    mapenzi ya mungu yatimie. amen!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mlokole nataka kuoa Mroma

    Inafaa sana kuishi bila kujitazama kuwa wewe ni bora zaidi kwa kuwa umeokoka! Suala hapa so kuokoka ama kutookoka mapenzi hayana hilo mpendwa wangu. Nakushauri kuwa msikivu kwa sauti ya mungu anayetuita sote kwake, mamoja umeokoka au laa! Kuokoka si kuwa ephata ama kuwa mkatoliki hata muislamu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mtanzania: Hali si shwari Zanzibar; Pemba yataka uhuru kamili

    Asiyesikia la mkuu!!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazofanya wanawake wavae nusu uchi

    Ukweli mtupu! Debe tupu haliachi kutika!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazofanya wanawake wavae nusu uchi

    Ni kweli, "debe tupu haliishi kutika"
  13. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wanena! Wasema Zitto, Makamba, Mbatia na Dr Hussein wanafaa urais 2015

    unaweza kuwarububi wajinga wengi lakini mwerevu mmoja anaweza kukurubuni wewe na kukugeuza lofa! nani hawajui hao wote uliowataja!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015

    Hongera kwa kumsifu mtu akiwa hai. Maana watu wetu wamezoea kumsifu mtu akiwa kwenye Jeneza. tukiwa na raisi wa namna hii nchi hii itakwenda!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nape aunguruma Njombe....

    wewe uliyeanzisha thread hii, yafaa sana uweke ukweli wa mambo kama ulivyo! kama watu mliowakodi kwa kuwapa pesa za mafuta ya pikipiki na magari ili waongeze uwingi wa watu, walifikia maelfu, basi haujakosea sana!
Back
Top Bottom