Recent content by john84

  1. J

    Mwigulu Nchemba: Sijadanganya umri, kinachoonekana ni makosa ya kiuchapaji

    Kwa wavivu wa kuingia library kusoma vitabu bt wanaishia kusoma videsa wakiwa kitandani na assignments wanafanya kwa zimamoto ni GPA kubwa sana ambayo kuipata ni ndoto bt kwa wenye bidiini GPA inayopatika tu tena UDSM huko huko ambako wengi wanasema walimu wanakamia.
  2. J

    Wakazi wa Dar es salaam, lini mtaiacha tabia hii

    Ni chanzo cha mapato kwa halmashauri hicho. Hayo mambo Tanga ndio nyumbani kwake hizi tabia tena njia ya daladala kabisa jamaa wanablock for two days kucheza ngoma.
  3. J

    Reginald Mengi kugombea Urais

    Una maana "anazo" au "hanazo" hueleweki.
  4. J

    Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

    Achen majungu kwani ofisi za usalama hamzijui kwanini msiende kuripoti huko. Kwa akili ya kawaida kwa mujibu wa mtoa uzi kwmba amewagonganisha wakuu wa idara wawili wa kike....kwa hali ya kawaida mkuu wa idara atakua 30+yrs sasa had amepewa hicho cheo awe bado hajitambui unatarajia nini so...
  5. J

    Msichana aongoza kwa ufaulu UDSM (4.8 GPA), Ana ndoto za kuja kuzaa watoto wasiopungua 7

    Mtoto ni mtoto tu hakuna cha she wala he. Akiwezeshwa anakuaa poa kabisa. Saf sana msichana rekodi yake anaonesha ana uwezo hakuna atakayethubutu kumwita Degree ya chup* kama ilivyozoeleka watu kucomment.
  6. J

    Vimemo vya Sitta kwenye Bunge Maalumu la Katiba vyatikisa kwenye mitandao

    Hicho cha pili kina utata sana ELA badala ya HELA huenda ni Mulugo product wamekitengeneza maana Lukuvu kwanza amefiwa hayupo bungeni kwa sasa
  7. J

    Kwanini utumie x badala ya s?

    Walewale...Under 18 kichwani umri over 25.
  8. J

    Kwanini utumie x badala ya s?

    Ni wajinga tu wachache kama wewe ndio watatetea huo ujinga mtu anaandka "co" badala ya "so" na "xixi" badala ya "sisi" ni stylistics gani uliyofundishwa wewe? Labda kama ulifundishwa na mwalimu wa voda fasta aliyepata E ya english advance. Hebu fuatilia comments za wazungu kwenye english...
  9. J

    Dk. Kigwangalla atangaza rasmi kuwania urais 2015

    Na weee ndio wale wale ina maana hujaona kuwa ni kiasi kikubwa sana ambacho amecopy kutoka kwa Mjaluo Obama? Halafu hiyo comperative analysis ya muda na idadi ya maneno ua very wrong kumbuka english has fewer words to express something than swahili hasa pale unapotafsiri neno kwa neno kama...
  10. J

    Naomba msaada wa jinsi ya kubadili avater ya JamiiForums

    Nenda kwenye "more" angalia "profile" then endelea utajua
  11. J

    Asili ya neno 'desa'

    Wakati nikiwa UDSM tulisimuliwa na mwalimu wetu ambaye ni profesa mahiri na mjuzi wa mambo mengi, kuwa kipindi cha vita baridi huko Ulaya/Ujerumani kuna "a russian spy" alikua anaitwa "Odessa", ambaye alibainika akiibia kuona taarifa za nchi nyingine kwa njia ya kuchungulia documents. And so...
  12. J

    Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ikulu ndogo Dodoma

    Wajumbe wa BMK huko Dodoma wanaomba usiku na mchana bunge lisisitishwe wamalizie posho zilizobaki maana nyumba zao huenda hata zinasubiri posho ya vikao ili wafanye finishing. Wakisikia habari ya Mahakama itasikiliza maombi ya kusitisha bunge wanadata sana
  13. J

    Tahadhari kwa wanaume wote, haya siyo utani wala mzaha

    Wewe ndio hujui dhana nzima ya uwakilishi katika mashauri na kesi katika vyombo vya maamuzi ya kisheria. Kumwakilisha mhalifu haina maan kuwa hajakosea bt ni haki yake kikatiba na nikumwezesha mtoa maamuzi/hakimu au jaji afike uamuz wa haki. Kumbuka kuna mwenendo wa kufikia uamuzi, it requires...
Back
Top Bottom