Recent content by john nishon

  1. john nishon

    Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    Watanzania tubadirike, tuache mambo ya kuponda, anachofanya Rais ni kwa faida ya taifa kwa ujumla. Tum-support Rais wetu, Tuache siasa hazina maana. NB politics is a dirty game.
  2. john nishon

    Ripoti yaporomosha hisa za ACACIA DSE, London

    Sasa wewe ulikuwa unafurahia nchi yako kuingizwa mitini na wewe kupata shida. ni wewe kila siku unalalamika maisha magumu, Huyu ndiye kiongozi tuliye kuwa tunamhitaji.
  3. john nishon

    Traffic police taking pictures outside of 50 zone?

    yesterday, nyakanazi na 50 ndiyo nimevielewa vingine vyote chenga
  4. john nishon

    Watanzania wengi wamemmiss Mh. Kikwete ushaidi huu hapa

    Namshukuru Mungu kwa kutupatia Rais na Kiongozi bora Hon.Dr.John Pombe Magufuli. ukienda hata nje ya nchi ukiuliza nani Magufuli wanakuambia ni kiongozi bora. nk.Nabii hakubaliki kwao
  5. john nishon

    Nini maana halisi ya kuzini (You shall not commit adultery)

    je ndugu nao wakizini ni dhambi, ikiwa wameridhiana?
  6. john nishon

    Hakuna mpenda amani yeyoye atafurahia Vitendo vinavyofanywa na Korea Kaskazini

    Bado mkuu sijakuelewa. wao wanamiliki za nini hizo nuclear?
  7. john nishon

    Kwanini wanaume wengi hawajui kiingereza?

    mwanaume huyo unayesema hajui kiingereza mpe kazi uone.
  8. john nishon

    Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

    tunaichukulia elimu kama sehemu ya fashion, walio wengi wanasoma ilimradi tu, hawajui kwanini wapo chuo.
  9. john nishon

    Uhakiki wa umri utafanywa kwa njia ipi?

    ahaha ahhaaha........ how? hujui au
  10. john nishon

    Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    hakuna siku hata moja polisi wa tz ataweza kushirikiana na raia
  11. john nishon

    Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Bongo movie wakae chini wajitafakari wenyewe kwanza then, wachukue hatua.
Back
Top Bottom