Recent content by John Mwalingo

  1. John Mwalingo

    Nyumba yangu inapigwa mnada na NMB

    Maswali 1. Nyumba ni yako mwenyewe? 2. Wakati Mzazi wako ( baba) anakopa wewe pamoja na mkeo mliridhia Mzazi wenu aitumie nyumba hiyo Kama dhamana? 3. Je! nyumba ni mali ya wanandoa au ni nyumba inayotokana na chumo la mmoja yaani mme/mke? 4. Je! ni hatua zipi binafsi zilifanywa na Mzazi...
  2. John Mwalingo

    Nimezaa na mke wa mtu bila kufahamu. Je, naweza kumchukua mtoto?

    Mawazo yoote yaliyo changiwa juu ya mada hiyo ni Muongozo tosha wa kisheria Sent using Jamii Forums mobile app
  3. John Mwalingo

    Nimezaa na mke wa mtu bila kufahamu. Je, naweza kumchukua mtoto?

    Huna haki juu ya huyo mtoto hilo ni zao la ndoa na si lako yaani kwa tafsiri fupi wewe ni mwizi kwa ndoa ya mtu, nadhani umenieoewa! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. John Mwalingo

    Je, ni sahihi kupitisha Nyaya za Umeme juu ya nyumba bila ridhaa ya mwenye nyumba?

    katika hilo inaweza ikawa halali Kama mchoro wao unawataka kufanya hivyo, lakini pia inaweza isiwe halali Kama mchoro wao hauja elekezwa kupitisha hapo. Kwa madhara yanayo weza kutokea Kama Michoro haijaelekezwa maeneo hayo ni kwamba Shirika anakuwa muwajibikaji katika hayo madhara...
  5. John Mwalingo

    Naombeni msaada wa kisheria kuhusu mikataba

    Stamp duty siyo kigezo katika Maswala ya kimkataba, ila katika tafsiri nyepesi mdhamini katika mkataba si mkopaji bali ni shahidi anae kaa kama uthibitisho au mtu anaye mtambua mkopaji. Majukumu au wajibu wa mdhamini katika mikataba ni; 1. Kutoa uhalisia au ukweli wa namna ya mambo yaliyo...
  6. John Mwalingo

    Tumekazia hukumu ila nataka kujitoa, Nitapata haki?

    Kimsingi Kama kesi iliisha na Mahakama ikaamua mlipwe fidia na Kampuni yenu baada ya siku therasini (30) za kisheria kuona Kama kuna upande haujaridhika na uamuzi huo kukata rufaa juu ya shitaka husika na uamuzi wa hukumu haujatekelezwa baada ya siku hizo kuisha mshindi au walio pewa upendeleo...
  7. John Mwalingo

    Natafuta Mwanasheria anianiandikie demand notice

    Katika tafsiri ya maelezo yako tayari kesi imefunguliwa Mahakamani "Demand note" huandaliwa Kama kesi hijafunguliwa Mahakamani na lengo lake kuu ni taarifa inayopelekwa kwa mtu unaye mdai kuona Kama busara zake zitamfanya alipe kiasi hicho nje ya Mahakama. May take...! Tafsri ya neno "kesi"...
  8. John Mwalingo

    Naomba msaada wa kisheria katika hili suala langu kudhulumiwa pesa zangu za upatu

    Kimsingi tafsiri au dhana za vikundi hivyo ni kukwamuana au kusaidiana Kama halipo katika makubaliano ya kimkataba jambo la awali unalopaswa kulifanya ni kwamba utoe taarifa kwa uongozi wa kikundi hicho au mchezesha kikundi hakina uongozi alishughulikie. Pili kama jitihada hizo zitakwama nenda...
  9. John Mwalingo

    Ana Mke lakini nina Mtoto wake, Naomba ufafanuzi juu ya jambo hili kisheria

    Kwa lugha nyepesi unatambulika Kama marafiki tu wa kimapenzi, ila haki za mtoto lazima uzipate kama Chakula, Malazi, Elimu na haki zingine nyingi anazo stahili mtoto kuzipata. Pili tukirudi kwa Ndoa ya rafiki yako wa kiume na mke wake kwake yeye atakuwa na haki zote anazo stahili katika ndoa...
  10. John Mwalingo

    Differences between a Lawyer and an Advocate (Tanzanian perspective)

    Asante sana kwa ufafanuzi huo, hongera sana kiongozi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom