Recent content by John Musaria

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

    Barafu ya moto umeongea kitu cha maana sana,watu wengi humu wanachangia bila kujua pointi ya kufungiwa Dr mwaka ni nini na yeye kaonyesha nini hapo kwenye vyeti, watu wanakimbilia kuchangia bila kuelewa vizuri
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, TANESCO wanatumia muda gani kukuingizia umeme ukishalipia mkoa wa Kinondoni, Dar?

    Nguzo moja inajumuisha na mita yaani service line kwa mjini ni 325,000,kwa kijijini ni 17,000,ila vijiji wameviandika kila Ofisi ya Tanesco wilaya
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Sina FURAHA
  4. J

    JamiiForums Tanzania Usidanganywe, jimbo la Chalinze ni 50 kwa 50

    Viva Lowassa,viva Ukawa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli azomewa tena. Ni Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi

    Video iwekwe basi watu tushuhudie huko mbunju,boko,tegeta
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Kakosa cha kuongea,rais lowassa no matter what
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Lowassa atachokwa Haraka sana na Watanzania Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais

    Ulitaka anunue nani kipindi ITV ndo ulizike?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa ya CCM kushindwa urais imezidi kutanda mitaani

    Walibadilisha pa kufungia kampeni baada ya ukawa kusema wanafungia Dar,nyinyiem wakaona wanachemka wakahamia Mwanza
  9. J

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi imarisha ITV

    Wametuboa sana ITV watu tunahamu na mabadiliko wanaleta mizinguo
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Mwanza CCM kuzomewa kawaida,hapa ni mipangilio ukawa sana,hata hao wengine waliopo hapo ni aibu tu inawasumbua
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Acheni ushabiki,unalinganisha watu hawa na wa lowassa?lowassa uwanja ulijaa na watu wengi tu hawakuweza kufika uwanjani na walikuja wenyewe,nyie pamoja na kuwasomba wapi
  12. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA, Hamjagundua waliohama kutoka CCM ni watu watano tu?

    Jamani naomba mwenye clip (video) ya magufuli alipochemsha kusema Mungu ailaze roho ya baba wa taifa Jakaya Mrisho Kikwete
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri kwenye Uzinduzi wa Mtambo wa Umeme wa Gesi, Kinyerezi Dar es Salaam

    Manga mseke unaongea kwa upande wako ila sehemu kubwa Tanzania ina haki gani?mfano Mimi wa Mwanza mgao kama kawaida toma miezi huko nyuma na tupo tu tunasubiri October 25 ili tupumlie hapo
Back
Top Bottom