Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,528
- 287,080
Wakuu salaam , kwa tathmini ndogo niliyofanya kuhusiana na jimbo hili mgombea wa UKAWA mathayo Torongey bado ana nafasi ya ushindi , hakika uchaguzi huu hakuna jimbo ' mdebwedo ' upepo wa kamanda lowassa unavuma vema sana chalinze , inashangaza !