Wadau habari zenu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Ningependa tujadili haya mambo kuhusu ufaulu wa wanafunzi wa shule za msingi kwemda form one kwamba mimi naona kuna mambo makubwa sana ya utoaji majibu inaendelea kwenye baadhi za shule unakuta mwanafunzi alikuwa mtoro alikuwa hafaulu na...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hakika umetoa tahadhar sana mi enyewe nawashangaaaga sana pengine hawajui mungu yupo likiz[emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika ni upumbavu uliokithiri inyokera sana aicee lijitu linapiga simu namb vip Poá mzm mzm niambie apo mtu unachokk nmekereka hat mi san[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.