biasharaTz
Senior Member
- Apr 14, 2016
- 163
- 79
Habari za leo!
Salama wakuu humu ndani?
Nauza kampuni yenye ukomo iliyosajiliwa mwaka jana na inafanya kazi vema kabisa. Inauzwa kwa sababu ya asili ya kazi inazofanya hauwezi kusajili NBAA kama kampuni yenye ukomo ie limited company! Hivyo basi imebidi kusajili ushirikiano kukidhi vigezo.
Miongoni mwa sifa zake
1. Ni kampuni yenye ukomo inayofanya kazi zake kama kawaida na ina usajili sehemu zote km vl BRELA, TRA na Manispaa na pia ina benki akaunt yenye mzunguko mzuri.
2. Madeni: Inadaiwa sh 100,000 tu ya kodi ya mwaka huu awamu ya nne kwn awamu tatu zote zimeshalipwa
3. Leseni: Ipo valid mpaka tarehe 20.12.2019
4. Mkataba wa pango upo valid mpaka 30.05.2019
5. VAT ipo ktk hatua za mwisho kupata
6. Mahali ilipo ofisi ni Dar es Salaam
7. Bei: Inategemea unataka wamiliki watoke na mafaili yao tu au ununue kampuni ktk fomu ya documents tu
Karibu PM tuyajenge