Recent content by John Masonga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kuepusha Shari: Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Tume ya Taifa na CCM Kuhusiana na Kuaminiwa kwa Matokeo

    Wewe unajidanganya bure, ukawa walijipanga kwenye kampeni na wajipange kupokea matokeo, hayo ni maamuzi ya wapigakura na si maamuzi ya kumpitisho Lowassa bila kupingwa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kiswahili chenye lafudhi yenye mvuto

    ooo tabiri lafudhi ya wap hiyo?
  3. J

    JamiiForums Tanzania MSAADA:- Maana ya neno "SMARTPHONE" kwa Kiswahili

    Simu maridhawa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Message from Juma Mwapachu

    Mfumo mbovu ukiongozwa na mafisadi papa, najua unawajua
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukimaliza kusoma hapa nafahamu utaandaa kura yako na familia yako kwa Lowassa

    Huyo jamaa na lipost lake angekaa na kutafakari wala asingepost lakn sio chochote kilicho ccm ni kibaya bali kikitoka ni kizuri hata magufuli sasa anaonekana fisadi lowassa mtakatifu hii ni kazi kubwa mliyonayo, mjitahidi labda riziki ni yenu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ngome ya CCM ni ipi hasa?

    Ngome ya ccm ipo kila sehemu kwa taarifa yako halafu huo mkumbo muda si mrefu unakwenda kupotea
  7. J

    JamiiForums Tanzania KOMBORA za Mwisho Kuanza Kurushwa Oktoba 01

    Hivi unaona sahihi sana kuongea maneno hayo au kura unapiga peke yako au wewe ndo unaweka tawala za wanadamu duniani?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Vijana vyuo vikuu waikana UKAWA hadharani

    Umechoshwa na ccm au na viongozi waliofikisha hapa ilipo ccm wakiwemo lowassa na ndugu sumaye na mzee kingungu?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wasio na bajeti wanahitaji mabadiliko?

    Mimi nataka kuhusu hii sera ya mabadiliko ya serikali, je hawa ndugu zangu ambao matumizi yao hayana control yani hawana kupangilia bajeti kwenye matumizi yao je na hao pia wanahitai mabadiliko? hivi unakuta mtu ana laki moja mchana halafu hadi saa tatu usiku hana hela anaamka asubuhi hela ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    kiumbe na muumba kuna mambo huwezi kuyacontrol kwa hiyo lazma ukubali kutii mamlaka, vinginevyo utakuwa unashinda na mamlaka
  11. J

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    wakati mwingine si kila swali unaweza kupata jibu kama unavyotaka wewe, jibu lako ni kwamba ukifuatilia historia ya ulimwengu Mungu ameishinda ya ushindani sana tangu mwanzo utakumbuka kuna wakati mbinguni kulikuwa na vita kati ya malaika wa Mungu na malaika waasi mwishowe malaika waasi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Kumbuka biblia unapoitafsiri unatakiwa uwe makini sana vinginevyo itakuacha njiani, kumbuka andiko linaongelea maisha baada ya tukio na kumbuka baada ya kaini uzao uliendelea kwa adam na mkewe na hao ndio watu ambao alikuwa akiwahofia Kaini,
  13. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

    Umeeleweka na inatusaidia kwa kweli
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Deo Filikunjombe

    Jino lenyewe ni kupambana na mafisadi waliolikandamiza taifa kwa masilahi yao binafsi
Back
Top Bottom