Recent content by John Kitime

  1. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Muziki na siasa

    Joto la uchaguzi limeanza, wanasiasa wanapishana huku na kule wakitafuta njia za kuweza kuendelea kushiriki kwa namna moja au nyingine katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kisiasa. Wanamuziki nao, wengine kwa upenzi wa kambi moja au nyingine ya kisiasa, au kwa kuona fursa ya kutengeneza fedha...
  2. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Upanga kuliwahi kuwa sehemu muhimu katika Muziki wa vijana miaka ya 60, 70 na 80

    KATIKA miaka ya 1960 na 1970 mpaka 1980, karibu kila eneo la jiji la Dar es Salaam kulikuwa na makundi ya muziki. Wakati huo muziki ulifanywa kwa vikundi tofauti na sasa ambapo msanii anaweza kuwa peke yake katika kutunga, kurekodi na hata kufanya kazi yake jukwaani. Muziki wa dansi uligawanyika...
  3. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Majanga kuzuia shughuli za muziki si mara ya kwanza nchini

    Ukubwa wa janga la Corona umeilazimu serikali kutangaza kusitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu ikiwemo shughuli za muziki. Katika historia yangu kama mwanamuziki, hii itakuwa mara ya tatu kwa muziki kusimamishwa nchini kwa amri ya serikali. Mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1984, wakati huo...
  4. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mwanamziki miaka ya 70 ilikuwa ni Dunia nyingine kabisa

    Leo nimekumbuka hali ilivyokuwa katikati ya miaka ya 70 wakati huo ambapo tayari nilikuwa mmoja ya wanamuziki kwenye kabendi ketu kadogo ka pale Iringa mjini. Kabendi kalikoitwa Iringa Jazz band lakini kutokana na mtindo wetu tuliouita Chikwala Chikwala, bendi iliishia kuitwa Chikwalachikwala...
  5. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Unataka kuunda BENDI? Sehemu ya Pili

    Katika makala ya wiki iliyopita niliandika mambo kadhaa ambayo ni muhimu kuyaweka mbele katika kusaidia kuunda bendi bora. Kimsingi ukiangalia mambo niliyoyataja utaona kuwa kuunda bendi kuna hitaji taaluma, na si kweli kuwa mtu yeyote anaweza kuunda bendi bora. Kupenda muziki, kuhudhuria...
  6. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Unataka kuunda Bendi? Sehemu ya kwanza

    Kuna mambo ambayo kwa uzoefu wangu wa muda mrefu katika tasnia hii, ninaweza kusema yangesaidia sana kuunda bendi bora. Kwanza lazima kuwa na sababu za msingi kwanini unataka kutengeneza bendi. Nimeshakutana na wanamuziki wengi wanataka kuanzisha bendi lakini ukiwauliza nia ya kutengeneza bendi...
  7. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Mhenga alonga 1

    Sikiliza mfululizo wa maelezo ya muhenga aliteanza kuingia katika madansi miaka ya 60 msikilize huku
Back
Top Bottom