Acha kujidhalilisha wewe! nipo jordan(JUCOL) hakuna cha CCM wala magamba. hata ofisi za ccm hakuna! afadhari CDM JORDAN wao wana ofisi zao pale njia panda,nyie hamzidi hata 10 hapo juco. msalimieni jamaa yenu wa UVCCM-ilemela ambae anasoma hapo JORDAN mwaka wa tatu muulizeni kwanini ANTON DIALO...
Issue ni POOR GOVERNMENT POLICY ktk elimu haiwezekani mtoto akafaulu kujiunga kidato cha kwanza halafu hawezi kuandika wala kusoma hata kitabu cha hadithi cha darasa la tatu! Huyo hata akirudia mtihani mara 100 ni kazi bure! Kwa mfano mkuu wa wilaya moja uko mkoa wa Mbeya alisema kwamba ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.