Recent content by John Doe Kellerman

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 UCHAGUZI WA ZANZIBAR: Great thinkers, inabidi iwashangaze kuwa mpaka sasa hakuna mwana CCM yeyote aliyechukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho.

    Amani iwe nanyi, Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu. Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni kweli viongozi wa juu wa chama ndio watahusika moja kwa moja kutoa jina pendekezwa na kumpa green...
  2. J

    JamiiForums Tanzania MwanaJF mpya, nipokeeni

    Karibu sana. Ni ihsani tu ambayo kama binaadam unastahili, ili kwa namna moja au nyengine ikufariji, ikufanye uzidi kujithamini, ikukumbushe kwamba wazuri na wema bado wapo, wenye huruma na wanaojali wataendelea kuwepo mbali na ukweli kwamba dunia ya sasa maadili yake si kama ya zamani. Upendo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania MwanaJF mpya, nipokeeni

    Karibu sana jukwaani. Kuna mengi ya kujifunza, kufariji, kuhuzunisha, kustarehesha, kuliwaza, kupumbaza, kufedhehesha, kukinaisha, kufkirisha, kukirihisha, kustaajabisha na hata kuhuisha. Karibu sana jiskie huru.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba, nimechoka upweke

    Utapata tu usijali. "He who searches carefully, never fails to find"
  5. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    Hakuna hasara hapo mkuu. Kuna faida kubwa ya kuanzia family mapema. Zilizopo sio hasara ni changamoto tu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hii tick tock ina balaa sana

    Ntawezana
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hii tick tock ina balaa sana

    Duh
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani sahihi ya kukutana na Mpenzi wako kwa mara kwanza?

    Mimi ningekupeleka beach
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Kama unashindwa tu kujua akiri sio sawa na akili utawezaje kujua mambo yanayohitaji akili kubwa kama haya???
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Sio wamezingua, safari hii tunawazingua wao kudaaaadeq. Hii ni nchi huru tutafanya tutakavyo
  11. J

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Magharibi vyaunga Mkono kauli ya Rais Magufuli vyaishangaa WHO

    Watanzania na waseme wanavyosema, this was a very smart move by Mr. President John Joseph Pombe Magufuli. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Back
Top Bottom