comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
Baadhi ya vyombo vya Magharibi vimeelewa kwanini Rais wa Tanzania aliamua kuingilia kati ubora na ufanisi wa vifaa vya kupima virus vinavyoleta ugonjwa wa Corona.
Mh. Rais Magufuli kwa msaada wa vyombo vyake aliamua kutilia shaka majibu mengi na matokeo ya vipimo vya ugonjwa wa corona na kuonyesha wasiwasi wake juu ya ubora wa vifaa tiba hivyo pale alipoamua kupeleka baadhi ya sampuli mbalimbali ikiwemo za Papai, Mbuzi na Kware kwenye maabara ya Taifa na vyote kuwa na majibu ya positive maana yake sampuli hizo zimepata maambukizi hali inayotia shaka ubora wa vifaa au wapimaji.