Mama Yangu anasumbuliwa na ugonjwa ambao anahisi anaungua kwenye mashavu, mabwegani, na kichwani usawa wa utosi.
Wakati mwingine akiwa anaungua hivyo kuna vitu vinamchoma kama vichomi kichwani.
Pia anakuwa anakaukiwa shingoni kama ana kikohozi kikavu.
Hali hii ya kuhisi kuungua ni ya muda...
Ninahisi ninaungua Kwenye Mashavu, Mabegani, na kichwani usawa wa Utosi. Wakati Mwingine vichomi vinanichoma kichwani. Sijajua tatizo liko wapi. Nimekunywa dawa sana ila bado tatizo linajirudia.
kuna sehemu nimepita jamaa analima nyanya aina ya assila kilimo cha mvua kawaida bila Matuta(single row). katika spacing zifuatazo..!1.30*60, 2.60*75, 3.60*90,..!Naomba kujua mahusiano ya hizo spacing na mavuno..!
Mkuu horticulturalist, hivi recommended spacing ya hizi semi determinate mfano assila, eden, jarrah rz, open field..!ni IPI nzuri Ikiwa 1.utalima bila Matuta, 2.utatumia mifereji, 3.utatumia matuta
Mkuu udongo wa ukanda huo tikiti pia linakubali..!kipindi cha mvua lakini..!ushauri tengeneza miundombinu ya kuvuna maji ya mvua kwa ajili ya umwagiliaji coz ukanda huko mvua ni nyingi..!watu wanalima vuli na masika wanapata..
Mkuu msimu huu unalima nyanya..?na ni mwezi wa ngapi kilimo cha nyanya kinaanza maeneo hayo..!natamani nije huko..!naomba uni pm namba yako kama hutojali..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.