Recent content by johansen josephat

  1. johansen josephat

    Kuchora tattoo

    I know Every type of Tattoo, hata pengine wew usizo zijua but... niliuliza kwa wakazi wa mwanza Ungesema nenda makoroboi tu... Hayo mengine hayana maana ndg yng ... Any way Ahsante kwa ushauri weko pia siwez mchukia yeyote. Naheshim sana mawazo ya kila moja
  2. johansen josephat

    Kuchora tattoo

    Thank you.... Mungu akubarik
  3. johansen josephat

    Kuchora tattoo

    Ahsante kwa mchango Wako... siwez kuchukia Ushauri wa mtu yeyote .I appreciate that
  4. johansen josephat

    Diamond jitathmini upya! ‘kokoro’ imekuvua nguo mshkaji wangu

    Siku nyingine ukiwa unafanya Uandishi jaribu kuzingatia baadhi ya fact... yeah thread yako nimeipenda inaonekana unamfatilia sana chibu... naomba niku jibu pasipo kuwa na Ushabiki nimependa sana jinsi ulivyo tiririka hapo juu kuhusu Chibu But Nyimbo ya Kokoro sio ya Diamomd na mwenye Haki...
  5. johansen josephat

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Nakiona kifo tayari... kuna watu wanaonge sijapata kuona aiseeee Yangu macho make nahitaji kujifunza zaidi Na kuelewa so siwezi changia chichote zaid ya kuwapa moyo wale wote wanao jitahidi kutu patia Articles zenye kutujenga.... ila kuna point nimesikia kama ukimwi haupo duuu.... nasubiri...
  6. johansen josephat

    Kuchora tattoo

    Habarin Wakuu Nahitaji msaada kwa yeyote alioko mwanza Mm ni mgeni kwenye maswala ya kuchora tattoo naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu wanapo chorea Anipe ramani nataka kuchora jina la mwanangu
  7. johansen josephat

    Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

    Hiyo nisawa na kutumia mua kama fimbo ya kutembelea jangwa huku ukiji sahaulisha kwamba njaa itakapo kushika lazima uule
  8. johansen josephat

    Anayejua wanapochora tattoo jijini Mwanza anisaidie

    Habari za mihangaiko ya siku nzima wakuu Hoja yangu haina umuhimu Sana lakini nahitaji msaada. Kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kupoteza muda wenu na kuchangia mada yangu. Leo ndio siku ya kwanza ya mimi kupost JF kuomba msaada mara nyingi imekuwa ikitokea mimi nikichangia but leo iko...
  9. johansen josephat

    Say no to CHAPUTA

    nimecheka sana cjui ni muelewe nan
  10. johansen josephat

    Say no to CHAPUTA

    Hapo ndio kaxi ya nyeto hiyo mpka uone porno kwanza
Back
Top Bottom