for real inauma,mi sioni haja ya mtu kupata 100% wakati wengine wanakosa kabisa ni bora tungegawana shida ila wote wanasoma ila mungu anamipango yake mkuu mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguliwa na hiz ndo challenge za maisha mkuu so usikate tamaa!
Asee mkuu medical examination form wapi naweza ipata mkuu, nimejaribu kutafuta kwenye web yao wiki ya pili sasa bila mafanikio! Naomba unisaidie hapo mkuu
Huwez soma hii kozi huku umemaliza kidato cha nne! Unajua hii ni Diplomaa? Mpaka umalize six tena uwe umesoma Pcb au labda Cbg .kwa form 4 ilikuwa zamani sana.
PHYSICS KUNA
Errors n dimensions
*Mechanics
*heat
Wave
Electronics
Magnetism
Current electricity+static electricity
Geophysics
Modern physics
ac
CHEMISTRY KUNA
General chem
states of matter
Thermo chem
Chemical kinetics
Chemical equilbrium
Electro chem
Environmental chem
Soil...
Worry out ! Wasiliana na Hao tcu. Kama vipi save na hiyo page inayokuonesha kuwa umekuwa admited st.joseph kama tu ushahidi isije baadaye isionekane alaf waka kwambia ni uongo hukuchaguliwa! Ni mawazo yangu coz najua kuna watu kwa kuponda mawazo ya watu ni noma! Ni hayo 2!
Naomba unisaidie mkuu, ni sisi 2liochaguliwa huko ndo wa kwanza kwenye hizo kozi au kuna mwaka 2,3,4. Unaweza mjua yeyote anayesoma hukoo! Shukran sana mkuu!
da mkuu acha utani, mi nimepangwa st.joseph agricultural engineering nahisi ni songea ila sina uhakika vizuri kwa sababu sikukichagua na hawaja andika ni wapi,nisaidieni wakuu kwa sababu sijaelewa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.