Heslb,,,tcu season is over over over

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,658
722
nadhani macho na masikio ya kila mdau amepata kila kitu alichokuwa akisubiri kwa hamu kutoka TCU na HESLB,,msimu ndo hivyo unaelekea mwisho,,tuwaachie first year wajao yaani 2013/14...NAWATAKIENI MASOMO MEMA KARIBUNI UDSM
 
Kama kawaida nipo na nitaendelea kuwepo kutoa msaada pale utakapo hitahika kama mimi nilivyo pewa msaada hapa Jamvini, thanks to all JF members
 
ningar big up man,,,,ni baadhi ya watu naowakubali hapa,,mimi ni s.membee ila pale kati nilibugi tu
 
da Presha ile ile,nimejaribu kupambana kuingia kwenye Web ya heslb saa la 24 hili bila ya mafanikio daah ful presha an!
 
Masomo mema vjana!bht imekuwa co yangu coz bod wamenichinjia baharin na typicaly mtoto wa mkulima lcha ya kuwa niliomba priort coz!inauma sana bt no way.
 
Aisee pamoja sana wakuu Jf for lifeee.....best wishes kwa chuo wote tutazid kuwa pamoja through Jf aiseee
 
Masomo mema vjana!bht imekuwa co yangu coz bod wamenichinjia baharin na typicaly mtoto wa mkulima lcha ya kuwa niliomba priort coz!inauma sana bt no way.

Usikate tamaa kijana wangu haya ni maisha yako unategemea nani atayapigania?? ni wewe mwenyewe, nachoweza kukushauri kua kama unauhakika unavigezo vya kupata mkopi wewe tafuta pesa ya semista ya kwanza hata kwa kuchangisha ndugu,jamaa na marafiki then HESLB watatoa nafasi za ku appeal nakushuri fanya hivyo ukiambatanisha vithibitisho vya ustaili wako wa kupata mkopo natumai mungu atakusaidia.
 
ningaR Nakukubali kaka tujuze we wapi na kama umepungukiwa kwenye loan ntakupa 500 ya kuwapigia sim heslb
 
Nashukuru kwa kunijali mkuu, mimi nimechagua UDOM na Mkopo nimepata 100% bila chenga, nashukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom